Maulid ya Madrassa ya Abbassiya Yafana
![]() |
| Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi |
![]() |
| Sheikh Abbas bin Sheikh Ramadhani Abbas akimwongoza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi Kuingia Maulidini |
Madrassa Abassiyya ni chuo kilichoanzishwa na Al Marhum Ramadhani Abbas katika miaka ya 1950 na kimedumu hapo kilipo Mtaa wa Mkunguni No. 4 toka wakati huo hadi sasa. Maulid ya Abbasiyya yalianza miaka ya 1980 na yamedumu yakisomwa kila mwaka toka enzi hizo. Maulid ya Abbassiyya yanasomwa tarehe sawa na Maulid ya Lamu, Maulid ya Seyuni na sehemu nyingine duniani. Sheikh Ramadhan Abbas alikuwa miongoni mwa wanafunzi wa Mufti Sheikh Hassan bin Amir.
|
![]() |



No comments:
Post a Comment