Sunday, 24 April 2016

KUTOKA FB: KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?



Kwa nini history ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?
LikeShow more reactions
Comment
Comments
Abdul Haji Akili za kiufirauni au
Jay Square Unafichwa ukweli wa asili.
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa. ingia hapa usome fikra za Prof. Noor: http://www.mohammedsaid.com/.../kutoka-jf-prof-ibrahim...

No comments: