MAMBO 10 YA KIPEKEE WELCOMING
RAMADHAN CONFERENCE 1437H
1.
Theme ya Mwisho Katika Theme za Familia
>>"Familia,
Kiini Cha Mabadiliko kwa Jamii"<<
2.
Mgeni Muhadhiri Imam Qassim Ibn Ali Khan. Anatoka USA na yupo kwenye
ndoa zaidi ya iaka 40 na mkewewe naye ameongozana nae kama muhadhiri.
3.
Wahadhiri Wasaidizi ni walimu wa adrassa kutoka Vijiji vya Masanganya-Kisarawe
na Kinyamale - Rufiji waliofundisha madrassa zaidi ya miaka 30 kwenye azingira
ya familia duni na madrassa hohe hahe.
4.
Muda wa kuchangia washiriki ni mkubwa kuliko miaka yote.
5.
Muongeaje ataongea Kiingereza moja kwa moja na wasikilizaji watakuwa huru kusikiliza
kwa Kiingereza au Kiswahili moja kwa moja.
6. 1st
SHORT PUBLIC PREVIEW ya Kilwa Documentary kuonyeshwa mapema.
7.
Matukio mengine 5 Makubwa kuambatana ikiwemo wanawake pekee, wanafunzi pekee
na viongozi wa dini pekee.
8.
Imam Qassim Ibn Ali Khan kuweka jiwe la msingi wa madrassa za mfano kwa
kituo cha kwanza kati ya vituo 50 zinazojengwa na KALAMU EDUCATION FOUNDATION.
9.
Kusali Sala ya Ijumaa Msikiti wa Muamar Ghadaff Dodoma, kukutana na Wabunge Waislam
na Wakazi Maalum wa Mkoa wa Dodoma tarehe 03.06.2016.
10.
Dr. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais Mstaafu kuwa Mgeni Rasmi.
ALLAH
AKBAR
No comments:
Post a Comment