Saturday, 11 June 2016

MWINYI BARAKA FOUNDATION: KONGAMANO:LA UJASIRIAMALI NA USTAARABU WA KIISLAMU ZANZIBAR 12 JUNI 2016



Mwinyibaraka Foundation
inakumbusha na kuomba  heshima ya kuhudhuria kwako kwenye Kongomano kesho Ijumaapili 12/6/2016, saa  3 kamili asubuhi, Byt Yamin

Mada ya Kongomano hilo ni : 


UJASIRIAMALI NA USTAARABU WA KIISLAMU ZANZIBAR

Ili  shughuli ianze kwa wakati  uliyopangwa tunaombwa tujitahidi  ifikapo saa  2:40  tuwe tumeshafika
Wabi LLah Tawfiq

KARIBUNI NYOTE


RATIBA YA KONGAMANO – RAMADHANI (JUMAPILI 12.06.2016)
MADA: UJASIRIAMALI NA USTAARABU WA KIISLAMU ZANZIBAR


3:00 Asubuhi
Katibu Mkuu:
Dr. Omar Saleh

Ukaribishaji.
3:10
Maalim: Saad Hassan       Shangama
Maelezo mafupi kuh: Ujasiriamali na Uislamu Zanzibar.
3:30
Dr. Muhyiddin A. Kh. (Maalim Siasa)
Zanzibar kama kitovu cha Uislamu Ulimwenguni.
3:55
Sheikh: Ahmed Khatib
Ustaarabu wa Kiislamu Zanzibar.
4:20
Dr. Nabil (Bill) Kiwia
Umuhimu wa Muislamu kuchagua biashara ya kufanya.
4:45
Sheikh: Mohammed Said
Maingiliano ya Waislamu na wasiokuwa waislamu.
5:10
Dr. Mohammed Hafidh
Mambo muhimu ya kuzingatia ktk ukusanyaji wa mtaji (capital) na utozaji wa faida.
5:35
Sheikh: Hamza Zubeir
Namna masheikh na wanvyuoni walivyokuwa wakijikimu Zanzibar.
6:00 Mchana
Sheikh: Khalid M. Mrisho
Adabu za mu’amala wa kibiashara ktk mujtama’a wa kiislamu.
6:20
Sheikh: Abdulrahman Sh. Alhabshy
Hauli ya Mwinyi Baraka
6:35
Sheikh: Ali Hemed Jabir
Dua ya Ufungaji.

MAANDALIZI
Photo: Baytul Amin

Photo

Photo

Photo

No comments: