| Mufti Abubakar Mzee na Sheikh Ali Hassan Mwinyi |
| Hamis bin Nassoro na wenzake kutoka Radio Kheri wakirusha matangazo mubashara |
| Kushoto Sheikh Alhadi Mussa na Sheikh Abdallah Jabir |
| Sheikh Othman Kaporo Muandaaji wa mashindano na mwalimu wa kuhifadhisha |
| Sheikh Mohamed Ali Mohamed Hafidh na mwalimu wa kuhifadhisha |
| Abdallah Jabir mmoja wa waandaaaji wa mashindano |
| Kijana akisoma huku akisikilizwa na Jopo la Majaji wa Kimataifa |
| Wahudumu katika sare zao maridadi |
| Kushoto Salim Lodi na Ramadhani Madabida |
| Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi |
| Kushoto Sheikh Suleiman Kilemile na Sheikh Salim Mtambo |
| Azam TV wakirusha matangazo mubashara |
| Waziri Mkuu akipokea zawadi |
| Sheikh Badr akiagana na Waziri Mkuu (haonekani) Kassim Majaliwa |
No comments:
Post a Comment