MFAHAMU RIZIKI SHAHARI MNGWALI
MSOMI WA IVY LEAGUE SCHOOL
Mheshimiwa Riziki
Shahari Mngwali alizaliwa tarehe 6 Mei 1960 kisiwani Mafia. Inataka uwe karibu
yake kwa muda mrefu ndiyo uelewe uwezo aliojaaliwa na Mola wake. Ukimsikia
akizungumza Kiswahili na ukiona haiba yake haitakujia hata kama huyu mwanamama
aliye mbele yako ana ulimi wa kuzungumza lugha ya Kiingereza kwa hali ambayo si
ya kawaida. Achilia mbali kuwa kichwani kwake amehifadhi shahada tatu moja kutoka
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na mbili kutoka Marekani, itakushangaza pia utakapomsikia anazungumza Kifaransa. Kwa kawaida madebe yaliyojaa huwa hayapigi kelele.
Mh. Riziki Shahari Mngwali kabla ya kuingia Bungeni mwaka 2016 alikuwa Mhadhiri katika Mahusiano ya Kimataifa Chuo Cha Diplomasia na amepata kuwa Mkuu wa Idara kadhaa na pia Kaimu Mkuu wa chuo hicho. Mh. Riziki ni bingwa katika tasnia ya upatanishi wa migogoro katika ngazi ya kimataifa na amehudhuria mikutano mingi nje ya nchi akiwa kama mtaalamu kutoka Tanzania ukitoa ile ambayo imefanyika nchini.
Mh. Riziki Shahari Mngwali kabla ya kuingia Bungeni mwaka 2016 alikuwa Mhadhiri katika Mahusiano ya Kimataifa Chuo Cha Diplomasia na amepata kuwa Mkuu wa Idara kadhaa na pia Kaimu Mkuu wa chuo hicho. Mh. Riziki ni bingwa katika tasnia ya upatanishi wa migogoro katika ngazi ya kimataifa na amehudhuria mikutano mingi nje ya nchi akiwa kama mtaalamu kutoka Tanzania ukitoa ile ambayo imefanyika nchini.
Mh. Riziki Shahari
Mngwali amekuwa mwanachama wa CUF toka chama kilipoanzishwa na hakutazama nyuma.
Ndiyo kusema amekuwa ndani ya chama kwa miongo miwili. Mh. Riziki amepanda na
kushuka na yote yaliyosibu CUF akilia kwenye majonzi na akicheka kwenye furaha.
CUF imefaidika sana na elimu, uzoefu na ujuzi wake katika taaluma zote alizosomea
kiasi alikuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akiwakilisha CUF.
Halikadhalika ni mjumbe wa CUF katika Kamati ya Wataalamu wa UKAWA (UKAWA
UTT). Mh. Rizika Shahari Mngwali ni Mwenyekiti wa Wabunge wa CUF kwenye Bunge
la Jamhuri ya Muungano na pia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi na Kaimu Mtendaji
JUKE-CUF.
Mh. Riziki Shahari Mngwali ametembea nchi nyingi duniani pamoja na Marekani, Iran, Ufaransa, Belize, Uingereza, Zambia, Afrika Kusini, Msumbiji, Ethiopia, Sweden, Kenya, Uganda, Saudi Arabia, Estonia, Latvia na Lithuania.
Mh. Riziki Shahari Mngwali akiapa Bungeni
Mh. Riziki Shahari Mngwali akichangia masuala ya afya Bungeni
Mh. Riziki Shahari Mngwali akichangia kuhusu masheikh wa Zanzibar waliowekwa rumande Bara
Mh. Riziki Shahari akiwa Mkuu wa Chuo Cha Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa akiwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Uhusiano wa Kimataifa Benard Membe |
Bi Riziki Shahari Mngwali akiwa na Bi. Ellie Spiegel Director of Programs International House siku alipotunukiwa shahada |
Bi. Riziki akifanya mahojiano maalum na Mh. Ali Mzee aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya mada aliyowasilisha Umoja wa Nchi za Afrika (AU) Addis Ababa 2010 |
Bi. Riziki akiwa katika shughuli za chama |
University
of Dar-es-Salaam, Dar-es-Salaam,
Tanzania
College of Arts and Social Sciences (CASS) /
College of Social Sciences (CoSS)
PhD Student in Political Science (International
Relations) October 2010-July 2012
PhD Candidate in Political Science
(International Relations) March 2015-Present
University
of Notre Dame,
Notre Dame, IN, USA
The Joan B. Kroc Institute for International
Peace Studies
Master of Arts in Peace Studies, August 2003
Columbia
University,
New York, NY, USA
School of International and Public Affairs
Master of International Affairs, May 1989
University
of Dar-es Salaam,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Faculty of Arts and Social Sciences
Bachelor of Arts with Honours in International
Relations, August 1985
OTHER
COURSES AND TRAINING
Public
Diplomacy, (On-line
Course), February – April 2009
Diplo Foundation, Malta
Integration
of ICT in Teaching and Learning, February 2006
Centre for Continuing Education, Dar-es-Salaam,
Tanzania
Teaching
Methodology, November
2005
Centre for Foreign Relations, Dar-es-Salaam
(Conducted by the Centre for Continuing Education, University of Dar-es-Salaam)
Gender
Mainstreaming, November
2004
MS-Training Centre for Development Co-operation,
Arusha, Tanzania
Field work
on communal conflicts: peasants vs. pastoralists, August 2003 – July 2004
Ulanga District, Morogoro Region, Tanzania
Conflict
Resolution and Mediation Skills, April 1996
Centre for Foreign Relations / USIS, Dar-es
Salaam, Tanzania
Basic
Mediation Skills,
September 1994
University of Western Cape, Cape Town, South
Africa
Advanced
International Programme on Conflict Resolution, April - June 1992
Uppsala University, Department of Peace and
Conflict Research, Uppsala, Sweden
Field work
on project design and evaluation, January 1989
CARE – Belize, Belize, Central America
United
Nations Geneva Graduate Programme, July 1988
United Nations, Geneva, Switzerland
Intensive
French Programme,
April – June 1984
University of Bujumbura, Bujumbura, Burundi
WORK EXPERIENCE
Constitutional
Review Commission, Dar-es-Salaam,
Tanzania
Member
(Commissioner), April
2012 – March 2014
·
One
of the Thirty Members Presidential Commission.
With other Commissioners co-ordinated, collected and analysed public
opinions, and submitted Draft Constitution to the President and the Constituent
Assembly.
Centre for
Foreign Relations,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Acting
Director of the Centre, December 2009 – December 2010
·
Chief
Executive Officer and an overall in-charge of the Centre. Supervised both the Academic and
Administration directorates comprising of teaching, research and consultancy,
and planning (human resources and finance) activities respectively.
Acting
Director of Studies and Programmes, May 2007 – December 2009
·
Co-ordinate
all academic activities at the Centre. Supervise teaching and research
activities of 4 Academic Departments.
Assist and advise Director of the Centre in all matters related to
academic activities including teaching, examinations and other quality control
instruments.
Lecturer,
Department of International Relations and Diplomacy, June 2005 – Present
·
Teach
and conduct seminars on Contemporary Issues on Sub-Saharan Africa, International
Relations, and International Conflict Resolution. Teach some selected modules on some courses
offered by other academic departments
Chairperson,
Academic Review Committee, July 2004 – December 2006
·
Lead
a team of five academic staff in reviewing CFR academic programmes and related
instruments for full accreditation to Higher Education Accreditation Council
(HEAC).
Head of
Department and Lecturer, Dept of International Relations and Diplomacy 2004- June 05
Department of Area Studies
and Politics 1989 – July 2004
· Taught
Area Studies on the Middle East and North Africa, as well as International
Relations and Conflict Resolution
·
Coordinated
teaching and managed department
Tutorial
Assistant,
June 1986 – January 1987
·
Prepared
and facilitated discussion sessions for Theories of International Relations
·
Taught
elementary and intermediate French
Tanzania
Conflict Resolution Centre (NGO), Dar-es-Salaam, Tanzania
Secretary
General
(unpaid), 1997 – 1999
·
Managed
administrative duties and kept financial records of the Organisation
·
Prepared
and organized seminars and workshops on conflict resolution
United
Nations,
New York, USA
Intern, Department of Technical
Cooperation for Developing Countries, June – September 1988
·
Assisted
in administrative duties servicing a variety of development projects in the
francophone African countries
Masjid
Qubah and Islamic Centre, Dar-es-Salaam, Tanzania
Secondary
School Teacher and Matron, August 1985 – June 1986
·
Taught
Kiswahili, French, English and Civic Education
·
Managed
responsibilities for the safety, discipline and well being of 150 female
students
President’s
Office,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Manpower
Management Assistant,
Commission for Enforcement of the Leadership Code, October 1981 – June 1982
·
Assisted
the Chief Manpower Management Officer in administrative duties related to
personnel
·
Prepared
and implemented annual manpower development plan
·
Acted
as Secretary to the Commissioners’ Meetings
PUBLICATIONS
AND RESEARCH
“Institutionalisation
of Community Mediation Services in Tanzania”, in Southern African Peace and Security
Studies, Vol.1 No.1, 2012: Southern African Centre for Collaboration on Peace
and Security online at http://www.saccps.org
“Theoretical
Aspects on Conflict Resolution” in Appraising Conflict in Tanzania:
Education, Corruption and Crime. Dar-es-Salaam: Tanzania Publishing House,
1998
“No Chance
for Peace: The Gulf Crisis” in Experiences from Conflict Resolution in the Third
World, Edited by Lindgren, G. et al. Uppsala University: Department of
Peace and Conflict Research, 1992
Research
Assistant, Research
on Lower Voter Registration for the 2010 General Elections (Zanzibar) under the University of Dar-es-Salaam (REDET)
September 2011
OTHER
EXPERIENCE
·
Worked,
on specific assignments, with a number of locally based Non-governmental
Organisations (NGOs) including Action for Relief and Development Assistance
(AFREDA), Tanzania Ecumenical Dialogue Group (TEDG), World Conference on
Religions for Peace (WCRP-TZ), and World Islamic Propagation and Humanitarian
Services (WIPAHS) as resource person on gender, conflict resolution and peace
building, 1996 – Present
- Attended a number of conferences, seminars and workshops both within and outside the country as paper presenter, participant orgainizer.
Bibi
Riziki Shahari Mngwali ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 6 Mei, 1960 katika
wilaya ya Mafia, mkoa wa Pwani nchini Tanzania. Bibi Riziki ameolewa na amejaaliwa
watoto wanne.
Mh.
Mngwali ni mwanamama mwanataaluma aliyebobea katika tasnia za uongozi na
mahusiano ya kimataifa. Ana shahada ya kwanza katika mahusiano ya kimataifa toka
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; shahada ya uzamili katika masuala ya kimataifa
toka Chuo Kikuu cha Columbia, New York, Marekani; na shahada nyingine ya
uzamili katika stadi za Amani na usuluhishi wa migogoro toka Chuo Kikuu cha
Notre Dame, Indiana, Marekani. Kwa sasa Bibi Riziki anaendelea na msomo ya
shahada ya uzamivu ya sayansi ya siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Bibi
Riziki amepata mafunzo maalum katika masuala ya jinsia, diplomasia na
majadiliano, uchumi, utawala na uongozi hapa nchini nan chi za nje. Amefanya
kazi katika nyadhifa mbalimbali kitaifa na kimataifa. Amekuwa mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba nchini mnamo Aprili 2012 hadi Machi 2014. Amekuwa Kaimu Mkuu
wa Chuo cha Diplomasia - Dar es Salaam mnamo Desemba 2009 hadi Desemba 2010. Amekuwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha Diplomasia mnamo Mei 2007 hadi Desemba
2009.
Aidha kwa
zaidi ya miaka 25, Bibi Riziki amekuwa Mhadhiri na Mkuu wa idara mbalimbali
katika Chuo cha Diplomasia - Dar es Salaam. Katika nyakati mbalimbali Bibi
Riziki amefanya kazi za kitafiti, kitaalamu na ushauri elekezi katika ofisi mbalimbali
za serikali, mashirika binafsi na asasi za kiraia ndani na nje ya nchi. Bibi
Riziki ameandika machapisho kadhaa ya kitaaluma katika fani za mahusiano ya
kimataifa, upatanishi na usuluhishi wa migogoro, uchaguzi na upigaji kura. Pia
amehudhuria kwa kushiriki na kuendesha mikutano, warsha na makongamano
mbalimbali ya kitaaluma ndani na nje ya nchi.
USHIRIKI NA UTENDAJI
WAKE KATIKA CUF
Bibi
Riziki Shahari Mngwali amekuwa mpenzi na mwanachama hai na muadilifu wa Chama
cha Wananchi CUF kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Ameshiriki katika kazi nyingi za
kisiasa na kitaalamu katika chama. Amekiwakilisha chama katika Tume ya Mabadiliko
ya Katiba nchini mnamo Aprili 2012 hadi Machi 2014. Bibi Riziki ni mjumbe wa
CUF katika Kamati ya Wataalamu wa UKAWA (UKAWA UTT).
Kwa
sasa Bibi Riziki ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Wabunge CUF kwenye
Bunge la Jamhuri ya Muungano. Pia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi na Kaimu Mtendaji wa
JUKE-CUF. Amefanikisha jitihada nyingi za kukijenga na kukiimarisha Chama cha
Wananchi CUF katika kushauri mipango na mifumo madhubuti ya Chama kuanzia ngazi
ya matawi hadi taifa. Kutokana na moyo wake wa uzalendo na uaminifu, na nia na
utashi wake katika kukiimarisha zaidi Chama cha Wananchi CUF, Bibi Riziki
anajitokeza kuwania nafasi ya Uenyekiti CUF Taifa. Mheshimiwa Mjumbe wa Baraza
Kuu la Uongozi, Mkutano Mkuu Maalum, Mwanachama na Mpenzi wa Chama Cha Wananchi
CUF ungana na Bibi Riziki katika kutekeleza ndoto yake ya kuijenga CUF mpya.
Kwa imani na uadilifu mkubwa, Bibi Riziki
anaomba kura yako ya NDIYO!!
DIRA:
Kuendeleza ujenzi wa Chama imara
chenye mifumo bora ya maadili na uongozi
DHAMIRA:
Kuboresha uwajibikaji, utendaji
na ushirikishwaji ndani ya Chama.
MOTTO:
Uadilifu na Ufanisi! Haki Sawa
kwa Wote!
Mama Riziki Anatosha Mwenyekiti
(T) - CUF Mpya 2016
Mwandishi akiwa katika Viwanja Vya Columbia University |
No comments:
Post a Comment