Idd Faizi Mafongo Aliyekusanya Fedha za Safari ya Nyerere UNO Mwaka 1955
| Wa Kwanza Kushoto ni Idd Faiz Mafongo Mwekahazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Mwekahazina wa TANU. Wanaofuatia ni: Sheikh Mohamed Ramiya wa Bagamoyo, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Taratibu Picha Hii Ilipigwa Dodoma Railway Station Mwaka 1956 Wakati wa Kueneza TANU Katika Majimbo |
No comments:
Post a Comment