Thursday, 6 February 2014

MJADALA WA UDINI NA DHULMA KATIKA MWANAHALISI FORUMS

  • Today, 10:49
    otorong'ong'o
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Hapa nilipo nachezea Ban ya miezi mitatu....JF imekuwa ya kikuda sana..
  • Today, 10:41
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    wewe nadhani upo upande wa wanaofaidi
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Conclusion ya ujumla ya report ni kwamba hilo lilikuwa kosa la kibinadamu...

    Tafsiri ya hiyo report au hatua za kuchukuliwa kutokana na hiyo report kila mtu anaweza akawa na maoni yake....Wengine wanaweza kusema hilo kosa ingawa ni la kibinadamu ni la kizembe hivyo, mhusika aliyefanya hilo kosa awajibishwe au wengine wanaweza kusema Katibu Mtendaji (Ndalichako) awajibike...na Mufti naye anaweza akawa na mawazo yake ambayo yanaweza yakawa sahihi au sio sahihi....

    Ninachosema hiyo issue ambayo ilisababisha hii report haionyeshi hata kwa 0.1% kwamba NECTA inaonea shule za kiislam....Mohamed Said ametoa shutuma hizi nimemuomba atoe ushahidi, ameshindwa !. Hii ndio issue under discussion hapa...
  • Today, 10:34
    jebibay

    Quote Originally Posted by Educator View Post
    Hiyo ripoti mbona nasikia ililalamikiwa na hata Mufti alimtaka ndalichako angoke? au hujasoma pia kupitia vyombo vya habari?
  • Today, 10:16
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Naona sasa unaleta ubishani usiokuwa na msingi !

    Kiongozi wa serikali (Rais, Waziri, Kabibu Mkuu etc) anapotoa taarifa kwa vyombo vya habari...Kila mtu ataangalia/atasoma/atasikiliza chombo cha habari anachokiamini na facts siku zote zinakuwa zile zile regardless ni chombo gani cha habari kimereport.....CCM walipotangaza kubadilisha siku ya sherehe zao kuwa tarehe 2/2/2014 badala ya tarehe 5/2/2014, hakuna chombo cha habari kinaweza kubadilisha hiyo fact (hata cha udaku)....Vitatofautiana kwenye issues za analysis pamoja na taarifa zisizo rasmi....Lakini facts zinazotolewa kwenye taarifa rasmi hakuna chombo cha habari kinachobadilisha...sana sana wanaweza wakaamua kutoreport !

    Hilo nililokwambia hapo juu ni fact. Haijalishi niliisoma/niliangalia/nilisikiliza kwenye chombo gani cha habari. Kama haumini vyombo vya habari vyote na ungekuwa na muda wakati huo ungeweza hata kwenda Wizara ya Elimu wewe binafsi na kumsikiliza Waziri....

    Kwa hiyo unataka kusema hao victim baada ya kumaliza kazi ya hiyo tume ndio wakaenda kumpa taarifa Mohamed Said ambayo ni tofauti na taarifa waliyompa waziri ?! Kama ndivyo mbona Mohamed Said hajasema hivyo ? Aseme kama ndivyo na tutamjibu kwa hoja na kuuweka uongo wake wazi, kama nilivyofanya kwenye uongo wa wazi alioutoa hapa wa kusingizia NECTA kwa tuhuma nzito bila kuwa na ushahidi...
    Hiyo ripoti mbona nasikia ililalamikiwa na hata Mufti alimtaka ndalichako angoke? au hujasoma pia kupitia vyombo vya habari?

    - - - Updated - - -

  • Today, 10:05

    Vyombo vya habari vipi?maana hata waopinzani wanatwambia tuchague vyombo vya habari vya kusikiliza. any way hata hao unaosema victim ndio waliompa taarifa mohammed said, sasa sijui waliotoa taarifa hiyo unazungumza mwenyekiti wa tume? katibu?
  • Today, 09:41
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Nimekueleza hivi...victims walikuwa part ya team iliyofanya uchunguzi. Hili lilitajwa team hiyo ilipoundwa na Dr. Kawambwa na liko wazi kabisa ! Kama wewe ulifuatilia hii issue kwa kiwango kidogo tu...utakuwa unalijua hili...hauhitaji kusikia kutoka kwa third part au kuwa sehemu ya team !. Kufuatilia vyombo vya habari wakati huo kulitosha kukupa hii taarifa.

    Kumweka victim, kuwa sehemu ya uchunguzi, naamini ni kiwango cha juu kabisa cha uwazi...kama kuna uwazi ambao unaamini ungefanyika zaidi ya huo, naomba uuseme !

  • Today, 09:31

    jee na wewe ulikuwepo katika team hiyo? au umesikia kutoka third party person?
  • Today, 09:18
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Tukizungumzia uathirika kwa ujumla, watu wengi wanaweza kukueleza jinsi walivyoathirika na serikali hii kila mtu kwa mazingira yake...hata mimi nina ya kwangu...

    Hapa tunazungumzia waathirika wa makosa yaliyotokea kwenye mtihani wa Islamic Knowledge - ACSEE 2012. Ndio....unataka kusema Mohamed Said ni muathirika kwa hili ?... Nimesema waathirika wa hili walishiriki kwenye team ya uchunguzi na wakaja na conclusion niliyoitaja, kwamba kosa lililotokea ni la kibinadamu, na wakarudishiwa grades zao walizositahili na wakaridhika.....

    Kipi kisichoeleweka hapo ?!
    jee na wewe ulikuwepo katika team hiyo? au umesikia kutoka third party person?
  • Today, 09:14
    jebibay
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Tukizungumzia uathirika kwa ujumla, watu wengi wanaweza kukueleza jinsi walivyoathirika na serikali hii kila mtu kwa mazingira yake...hata mimi nina ya kwangu...

    Hapa tunazungumzia waathirika wa makosa yaliyotokea kwenye mtihani wa Islamic Knowledge - ACSEE 2012. Unataka kusema Mohamed Said ni muathirika kwa hili ?... Nimesema waathirika wa hili walishiriki kwenye team ya uchunguzi na wakaja na conclusion niliyoitaja, kwamba kosa lililotokea ni la kibinadamu, na wakarudishiwa grades zao walizositahili na wakaridhika.....

    Kipi kisichoeleweka hapo ?!

    Quote Originally Posted by Educator View Post
    MOHAMMED KAFANYA UTAFITI WA KINA,WEWE UNACHUKUA MATOKEO NA HUJAFANYA UTAFITI, HALAFU MUHAMMED SAID NI MUATHIRIKA.NAKUMBUKA HATA UKIULIZA PALE MUM KWA PROF NJOZI UNAWEZA KUPATA HAYA HAYA.
  • Today, 09:08
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by MUJIVUNI View Post
    hemu tutumie akili kidogo, huyu bwana mohamed ajalibu kufikiri wakati marekani
    anivamia Iraq, na wakati ule anawachonganisha iraq na iran.wakapigana miaka kama nane.alitumia propaganda,
    uyu padri wa kizungu mkatoliki aliandika alicho kiandika kwa masilai ya nani????na kwa ninii..???
    na je mohamed katumwa naye ageuke ULAMAHA MPOTOSHAJI na kama ni ivyo kwa masilai ya nani!!!

    NADHANI MOHAMED anaongozwa kwa hisia(emotions)ndiyo maana hakuna balance kwenye maandishi yake.
    je sisi wapagani tusemeje???
    hacha udini.
    NCHI HAKUNA MPAGANI. KAMA YUPO BASI HANA NAFASI, MAANA WABUNGE WOTE NAONA WAMEAPA KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI. SASA KAMA KUNA MPAGANI HANA MWAKILISHI BUNGENI.
  • Today, 09:04
    MUJIVUNI
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    hemu tutumie akili kidogo, huyu bwana mohamed ajalibu kufikiri wakati marekani
    anivamia Iraq, na wakati ule anawachonganisha iraq na iran.wakapigana miaka kama nane.alitumia propaganda,
    uyu padri wa kizungu mkatoliki aliandika alicho kiandika kwa masilai ya nani????na kwa ninii..???
    na je mohamed katumwa naye ageuke ULAMAHA MPOTOSHAJI na kama ni ivyo kwa masilai ya nani!!!

    NADHANI MOHAMED anaongozwa kwa hisia(emotions)ndiyo maana hakuna balance kwenye maandishi yake.
    je sisi wapagani tusemeje???
    hacha udini.
  • Today, 08:57
    Educator
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Sasa naona unaleta ubabaishaji tu.......

    Nimekuomba ushahidi kuhusiana na NECTA (baada ya wewe kutoa tuhuma nzito kwa NECTA) unaniletea ushahidi kuhusu Nyerere (ambao sijaudai) eti kwamba alikuwa mdini !. Na hata huo ushahidi wenyewe wa Nyerere hujautoa bali unadai nikaudai kwa Bergen !

    Umeshindwa kabisa kutoa ushahidi na sifuri alipojaribu kukusaidia nikamjibu kwa hoja na yeye badala kuzitolea majibu hizo hoja, eti anasema niwataje makatibu wa NECTA waliopita !

    "Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress" - Unasema statmement yako hii hapa (rangi nyekundu) ndipo panamhusu Dr. Ndalichako na NECTA, kwa maana hiyo, probably unataka nichukulie kwamba huu ndio ushahidi (au ndani yake kuna ushahidi) !

    Seriously, nime-conclude kwamba wewe ni mbabaishaji !

    Vile vile posts zako nyingi (katika discussion hii na mimi) zinapandikiza chuki za kidini. Nakubalina kabisa na yule aliyesema wewe unaeneza chuki za kidini......Kitu ambacho sija-prove ni kwamba, unafanya hivi kwa makusudi au ujinga !

    Ninaegemea zaidi kwenye upande kwamba unafanya haya kwa makusudi kwa sababu bado nashindwa kuelewa kwa mtu ambaye ana uelewa wa kwako wewe na anaonyesha kuwa na uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo atashindwa kuelewa vitu ambavyo viko wazi kabisa !

    Nitatoa mfano :

    Information kwamba walalamikaji ambao vile vile walikuwa ni victims wa issue ya Islamic Knowledge kuwekwa kwenye team ya kuchunguza hilo tatizo iko kwenye public domain...Dr. Kawambwa alitumia hekima ya hali ya juu akaunda team ya kuchunguza swala hilo na akawaweka walalamikaji ambao vile vile walikuwa victims wawe kati ya members wa team...You can't be more transparent than that !. Ninapoku-confront na hii fact, na kukwambia kwamba team hiyo (ambayo ina-include victims) ime-conclude kwamba hilo lilikuwa kosa la kibinadamu...eti unasema waislam wamekataa kwamba si kosa la kibinadamu !. Victims (ambao ndio waislamu waliokuwa na madai wameonewa) wameshiriki na wameridhika na wametoa hiyo conclusion. Hao waislam wengine wanaokataa wanatoka wapi ?!

    Nakuwa mgumu kuamini, kwa uelewa na uwezo wako, umeshindwa kuelewa jambo hili lililo wazi kabisa na kuwang'ang'aniza waislamu kwamba wamekataa hiyo conclusion....Ndio maana naegemea kwenye upande kwamba wewe unaeneza hizi chuki kwa makusudi !
    MOHAMMED KAFANYA UTAFITI WA KINA,WEWE UNACHUKUA MATOKEO NA HUJAFANYA UTAFITI, HALAFU MUHAMMED SAID NI MUATHIRIKA.NAKUMBUKA HATA UKIULIZA PALE MUM KWA PROF NJOZI UNAWEZA KUPATA HAYA HAYA.
  • Today, 08:54
    MUJIVUNI
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    huyu bwana ana jalibu kuwasilisha hoja ingawa zinaegemea upande mmoja na kulalama yakuwa baadhi ya watu(WAISILAMU)walibinywa kihistoria...ni mategemeo yangu hana ajenda ya siri maana wapo ata magaidi wanao tumia karamu
  • Today, 08:49
    jebibay
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Sasa naona unaleta ubabaishaji tu.......

    Nimekuomba ushahidi kuhusiana na NECTA (baada ya wewe kutoa tuhuma nzito kwa NECTA) unaniletea ushahidi kuhusu Nyerere (ambao sijaudai) eti kwamba alikuwa mdini !. Na hata huo ushahidi wenyewe wa Nyerere hujautoa bali unadai nikaudai kwa Bergen !

    Umeshindwa kabisa kutoa ushahidi na sifuri alipojaribu kukusaidia nikamjibu kwa hoja na yeye badala kuzitolea majibu hizo hoja, eti anasema niwataje makatibu wa NECTA waliopita !

    "Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress" - Unasema statmement yako hii hapa (rangi nyekundu) ndipo panamhusu Dr. Ndalichako na NECTA, kwa maana hiyo, probably unataka nichukulie kwamba huu ndio ushahidi (au ndani yake kuna ushahidi) !

    Seriously, nime-conclude kwamba wewe ni mbabaishaji !

    Vile vile posts zako nyingi (katika discussion hii na mimi) zinapandikiza chuki za kidini. Nakubalina kabisa na yule aliyesema wewe unaeneza chuki za kidini......Kitu ambacho sija-prove ni kwamba, unafanya hivi kwa makusudi au ujinga !

    Ninaegemea zaidi kwenye upande kwamba unafanya haya kwa makusudi kwa sababu bado nashindwa kuelewa kwa mtu ambaye ana uelewa wa kwako wewe na anaonyesha kuwa na uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo atashindwa kuelewa vitu ambavyo viko wazi kabisa !

    Nitatoa mfano :

    Information kwamba walalamikaji ambao vile vile walikuwa ni victims wa issue ya Islamic Knowledge kuwekwa kwenye team ya kuchunguza hilo tatizo iko kwenye public domain...Dr. Kawambwa alitumia hekima ya hali ya juu akaunda team ya kuchunguza swala hilo na akawaweka walalamikaji ambao vile vile walikuwa victims wawe kati ya members wa team...You can't be more transparent than that !. Ninapoku-confront na hii fact, na kukwambia kwamba team hiyo (ambayo ina-include victims) ime-conclude kwamba hilo lilikuwa kosa la kibinadamu...eti unasema waislam wamekataa kwamba si kosa la kibinadamu !. Victims (ambao ndio waislamu waliokuwa na madai wameonewa) wameshiriki na wameridhika na wametoa hiyo conclusion. Hao waislam wengine wanaokataa wanatoka wapi ?!

    Nakuwa mgumu kuamini, kwa uelewa na uwezo wako, umeshindwa kuelewa jambo hili lililo wazi kabisa na kuwang'ang'aniza waislamu kwamba wamekataa hiyo conclusion....Ndio maana naegemea kwenye upande kwamba wewe unaeneza hizi chuki kwa makusudi !

    Quote Originally Posted by Mohamed Said View Post
    Jebibay,
    Sasa unataka ushahidi.

    Tambua kitu kimoja kuwa shutuma hizo za kuwa Nyerere alikuwa mdini
    sijatoa mimi ametoa Jan P van Bergen kwenye hicho kitabu chake.

    Inabidi sasa ushahidi ukaudai kwa Bergen.

    Sasa baaada ya kukutoa kule ulikodhani kuwa kuna shutuma ''nzito
    nakuleta''kwengine kwenye shutuma nzito zaidi ya hizo za mwanzo.

    Hapo Waislam wanaitwa ''maadui'' na viongozi wa Kanisa.

    Msikilize Padri wa Kanisa Katoliki John Sivalon anasema nini:

    The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, ''Kanisa
    Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985,'' unmasks a
    conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that
    the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.
    First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora,
    Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer
    of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS)
    from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources
    in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with
    the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would
    endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared
    Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress. 

    Jebibay,
    Sasa hapo juu penye wekundu ndipo anapoingia Ndalichako na NECTA katika kuwapiga
    vita Waislam.

    Na yanaingia mengi sana kama kuzuia kila kitu ambacho kitafanya Uislam ushamiri
    katika nchi hii - kuivunja EAMWS, kuzivunja Mahkama za Kadhi Tanganyika 1963,
    kupinga OIC, kufuta historia ya Vita Vya Maji Maji na ya uhuru wa Tanganyika kwa
    sababu Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele, kuondoa kipengele cha dini katika
    sensa kwa uoga wa kueleweka wingi wa Waislam nk. nk.

    Yapo mengi ukipenda tunaweza tukaendelea pakubwa katika darsa hii.

    Nilikueleza kuwa najua mambo mengi na kama utapenda kuwa mwanafunzi wangu mimi
    In Sha Allah niko tayari kukufunza yote niyajuayo.
  • Today, 06:02
    Mohamed Said
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Hayo maneno kwenye post yako hapo chini (hayo niliyoyawekea rangi nyekundu) hayana ushahidi wowote !

    Hayo ni maelezo kuhusiana na hivyo vitabu, na mtu anahitaji kuvisoma ili kuona kama hiyo summary uliyoandika kuhusiana na hivyo vitabu ni sahihi au la. Inawezekana hivyo vitabu ulivyovitaja vikawa na ushahidi au visiwe nao....siwezi kulisemea hilo mpaka nivisome na nione huo ushahidi una-hold water ua la. Hiyo itakuwa ni issue nyingine ambayo inahitaji muda kuifuatilia.....

    Lakini hapa wewe umetoa shutuma ambazo naona kabisa si za kweli...Unatakiwa ushahidi au kama huna, useme kwamba huna ushahidi. At least ningeona una credibility juu ya issues unazozitoa.....Mimi sijui mambo mengi, ninajua (kwa kiasi) kuhusiana na profession yangu na vile vile katika mjadala huu (based on data ambazo wanaolalamikia NECTA wanazizitoa/wanazisema) nina uhakika kwa haya mambo mawili :

    1.NECTA haionei shule za kiislam...i.e. hawana policy ya kuonea shule za kiislam.
    2.NECTA si kigango cha kanisa katoliki.....

    Wewe umetoa hizo shutuma mbili hapo juu na hana ushahidi......

    At least kwa hili moja ambalo nina uhakika nalo, linaondoa kabisa credibility yako kwangu kiasi kwamba hata hayo mengine uliyoyataja ambayo siyafahamu, hakuna guarantee kwamba yatakuwa na ushahidi wowote....Its very possible yakawa na ushahidi wa ubabaishaji au yasiwe na ushahidi kabisa kama ilivyo kwa hili la NECTA.....

  • Today, 05:43
    Sifuri
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    unawajua hutaki kutaja . maana ukitaja unajua wazi utaumbuka
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Niwataje ili iweje ?

    Sifuatiliagi vitu vya aina hiyo, na sina sababu ya kufanya hivyo....inaonekana wewe unawajua...unaweza kuwataja kama utapenda kufanya hivyo...ingawa sidhani kama ni relevant katika discussion hii !

    Nisichokubaliana na Mohamed Said tangu mwanzo ni kwamba yeye ametoa shutuma kwamba NECTA wanaonea shule za kiislam na NECTA ni kigango cha kanisa katoliki....Nimeomba atoe ushahidi wa hizi shutuma zake ameshindwa ! Kama wewe unao toa.....

    Mbona issue ipo wazi sana....Umetoa tuhuma nzito kama hizo halafu umeombwa ushahidi, inabidi uleta huo ushahidi. Kama huna na wewe ni mstaarabu na unajiamini, unaomba msamaha. Otherwise unaweza kukaa kimya, nayo ni namna ya kuomba msamaha kiutu uzima, na watu wazima tutakuelewa !
  • Today, 03:41
    Mohamed Said
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Jebibeyi
    Nitakuwekea na mengine yanayomuhusu Nyerere na Kanisa Katoliki katika vita dhidi y Uislam.
    Vuta subra.
  • Today, 03:35
    Mohamed Said
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Kada,
    Jitulize na nisome.
    Natumia jina langu.

  • Today, 00:50
    jebibay
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Hayo maneno kwenye post yako hapo chini (hayo niliyoyawekea rangi nyekundu) hayana ushahidi wowote !

    Hayo ni maelezo kuhusiana na hivyo vitabu, na mtu anahitaji kuvisoma ili kuona kama hiyo summary uliyoandika kuhusiana na hivyo vitabu ni sahihi au la. Inawezekana hivyo vitabu ulivyovitaja vikawa na ushahidi au visiwe nao....siwezi kulisemea hilo mpaka nivisome na nione huo ushahidi una-hold water ua la. Hiyo itakuwa ni issue nyingine ambayo inahitaji muda kuifuatilia.....

    Lakini hapa wewe umetoa shutuma ambazo naona kabisa si za kweli...Unatakiwa ushahidi au kama huna, useme kwamba huna ushahidi. At least ningeona una credibility juu ya issues unazozitoa.....Mimi sijui mambo mengi, ninajua (kwa kiasi) kuhusiana na profession yangu na vile vile katika mjadala huu (based on data ambazo wanaolalamikia NECTA wanazizitoa/wanazisema) nina uhakika kwa haya mambo mawili :

    1.NECTA haionei shule za kiislam...i.e. hawana policy ya kuonea shule za kiislam.
    2.NECTA si kigango cha kanisa katoliki.....

    Wewe umetoa hizo shutuma mbili hapo juu na hana ushahidi......

    At least kwa hili moja ambalo nina uhakika nalo, linaondoa kabisa credibility yako kwangu kiasi kwamba hata hayo mengine uliyoyataja ambayo siyafahamu, hakuna guarantee kwamba yatakuwa na ushahidi wowote....Its very possible yakawa na ushahidi wa ubabaishaji au yasiwe na ushahidi kabisa kama ilivyo kwa hili la NECTA.....

    Photo

     Moja ya Mabango Katika Maandamano ya Waislam Dhidi ya NECTA

    Photo

    Quote Originally Posted by Mohamed Said View Post
    Jebibay,
    Inaelekea wewe ni mgeni sana katika haya.
    Hapa mimi na wewe tulipofika katika majadiliano inaitwa ''merry go round.''

    Ili mimi nikutoe hapo sina budi nikupe kitu kipya.
    Hiki kitakuzindua na kukutoa hapo uliponasa.

    Ikiwa hayo yalopita umeona ni ''shutuma nzito'' hebu soma haya hapo chini:

    ''... at the moment there are two books in existence written by non-Muslims 
    which proves that Christians have used their positions in the government
    to subvert Islam and Muslims. Jan P van Bergen in his book, ''Development
    and Religion in Tanzania,'' (1981) divulges very incriminating information
    on former President Nyerere. The book give details of how during his 
    rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to
    discuss the future of Tanzania. In those meetings Nyerere is reported to
    have assured Bishops of his continued support to Christianity. The work 
    reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed
    his promise by appointing them to important positions in his government 
    and party...''

    Maneno haya nimeandika zaidi ya miaka 30 iliyopita.

    Yapo katika kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes
    (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British
    Colonialism in Tanganyika,'' 1998, London.

  • Today, 00:39
    jebibay
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Niwataje ili iweje ?

    Sifuatiliagi vitu vya aina hiyo, na sina sababu ya kufanya hivyo....inaonekana wewe unawajua...unaweza kuwataja kama utapenda kufanya hivyo...ingawa sidhani kama ni relevant katika discussion hii !

    Nisichokubaliana na Mohamed Said tangu mwanzo ni kwamba yeye ametoa shutuma kwamba NECTA wanaonea shule za kiislam na NECTA ni kigango cha kanisa katoliki....Nimeomba atoe ushahidi wa hizi shutuma zake ameshindwa ! Kama wewe unao toa.....

    Mbona issue ipo wazi sana....Umetoa tuhuma nzito kama hizo halafu umeombwa ushahidi, inabidi uleta huo ushahidi. Kama huna na wewe ni mstaarabu na unajiamini, unaomba msamaha. Otherwise unaweza kukaa kimya, nayo ni namna ya kuomba msamaha kiutu uzima, na watu wazima tutakuelewa !

    Quote Originally Posted by Sifuri View Post
    Unaweza kutaja makatibu wakuu wa NECTA tangu ianzishwe? Wenyeviti jee?au unakurupuka tu
  • Yesterday, 23:54
    Sifuri
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Nimefuatilia hiyo link na haina ushahidi wowote kwamba NECTA inaonea waislam.....Hayo yote aliyoyasema au wanafunzi kuwekewa "W" i.e. matokeo kufutwa sababu ya udanganyifu yametokea na yanaendelea kutokea kwenye shule nyingi tu za bara na visiwani....

    Pili kuna tofauti kati ya udanganyifu ndani ya chumba cha mitihani na kuvuja kwa mitihani, mwandishi anaonekana kushindwa kutofautisha kati ya hivi vitu viwili....

    Kuna software ya mitihani ambayo majibu yote ya watahiniwa yanaingizwa kwenye hiyo software na inatoa pattern zote ambazo ni questionable (mfano - mwanafunzi kupata somo moja A na mengine yote F au wanafunzi wote wa darasa moja la mtihani au shule wanapata majibu consistent especially majibu yasiyo sahihi etc...Hii software ikishatoa hizo pattern, NECTA wanachunguza zaidi ikiwa ni pamoja na ku-revisit scripts...hapo ndio wanagundua kwa mfano yule aliyepata A somo moja na mengine yote F alifanyiwa mitihani (wanaangalia factors nyingi ikiwa ni pamoja na miandiko) etc....

    Udanganyifu huu, hauhusiani kabisa na kuvuja kwa mitihani, na tangu NECTA waanza kutumia software hii, udanganyifu wa aina hii umekuwa unagunduliwa kirahisi.....Dr. Ndalichako alilieleza hili vizuri kwenye kipindi kimoja cha kipima joto (ITV), tena kwenye matokeo hayo hayo yaliyotajwa kwenye hiyo link hapo juu, na hata alionyesha kwenye hicho kipindi some of the output ya hiyo software.......
    Unaweza kutaja makatibu wakuu wa NECTA tangu ianzishwe? Wenyeviti jee?au unakurupuka tu
  • Yesterday, 23:49

    labda tuanze hapa ilimuondosha dk Ndalichako Ofisini

    http://www.mwanahalisi.co.tz/hoja_za...hazina_mashiko
  • Yesterday, 23:46
    Sifuri
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by Mohamed Said View Post
    Sifuri,
    Nakushukuru sana.
    sasa napata picha kwanini wanafiki wa taifa hili wanakuchukia

    - - - Updated - - -

    Quote Originally Posted by Mohamed Said View Post
    Sifuri,
    Nakushukuru sana.
    sasa napata picha kwanini wanafiki wa taifa hili wanakuchukia
  • Yesterday, 23:40
    Mohamed Said
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by Sifuri View Post
    labda tuanze hapa ilimuondosha dk Ndalichako Ofisini

    http://www.mwanahalisi.co.tz/hoja_za...hazina_mashiko
    Sifuri,
    Nakushukuru sana.
  • Yesterday, 23:31
    Mohamed Said
    Re: MOHAMMED SAID naye apigwa BAN Jamiiforums
    Quote Originally Posted by jebibay View Post
    Nikikwambia we vipi ? manake nakushangaa kwa jinsi unavyofanya mambo ya ajabu.....Porojo ni neno la kiswahili na lina-present exactly unachokifanya hapa.....

    Umetoa shutuma bila kuwa na ushahidi, ninapokudai ushahiki, unaongea maneno ya kukwepa.....Sasa kama huna ushahidi kwa nini unatoa shutuma ? Sasa kwa nini nisiziite hizo ni porojo ?!

    Hapa hapa, angalia umetoa na shutuma nyingine kwamba NECTA ni kigango cha kanisa katoliki (na sitegemei kwamba utakuwa na ushahidi) kwa staili hii...Hapa tu sio unatoa shutuma kwa NECTA ila kwa kanisa katoliki...Hapo kwa mtu ambaye atakuwa ana imani na unachosema na akawa hawezi kuchanganua mambo tu assume ni mwanafunzi amefanya mtihani na akafeli na ni muislamu anaweza kabisa kuamini ameonewa na NECTA sababu ni kigango cha kanisa katoliki na yeye ni muislamu, unafikiri huyu kijana atakua analichuliaje kanisa katoliki na wakatoliki ? Kama huna ushahidi kwa hili (kama unao toa) hii itakuwa ni maneno yanayolenga kuleta chuki za kidini...

    Kuna mtu hapo juu alikutuhumu kwamba wewe unaeneza chuki za kidini na wewe ukademand atoe ushahidi....Una-demand ushahidi unaposhutumiwa lakini unapotoa shutuma na kudaiwa ushahidi hutaki kutoa.....Sasa nikikwambia huu ni ushahidi kwamba alikuwa sahihi i2kwamba wewe unaeneza chuki za kidini, utabisha ?

    Eti unasema nisubiri, kitabu kitakachoandikwa ! Yaani unatoa shutuma nzito kama hizo kwa taasisi ya serikali na dhehebu kubwa la dini, halafu unapoambiwa utoe ushahidi, unasema tusubiri kitabu kitakachoandikwa ! Are you really serious ?

  • No comments: