Tuesday, 9 June 2015

KUTOKA JF: MJADALA WA DR GHASSANY UNATAKA KUNOGA BANDIKO LINAVURUGWA

Wasomaji,
Mjadala unataka kunoga bandiko la mwandishi akijibu mashambulizi linavurugwa kama ilivyo hapo chini:

[QUOTE=Mohamed Said;12954350]

Nguruvi3,

Kuwa mimi sikuwa na jibu sikumbuki lini nimekuwa sina jibu lakini hiki si muhimu.

Jina linaandikwa, "Ghassany," siyo "Ghesany."

Unapoandika kwa staili hii masomaji yoyote atakutoa maanani kwa kukuona si mtu

makini.

Ahmed Rajab anitupie mimi dongo kwa lipi ilhali mimi si mwandishi wa kitabu

hiki kilicho hapa jamvini?

Hapa napo umekosa tena umakini.

Ahmed Rajab anamjibu Dr. Ghassany si mie.

Soma jibu la Dr. Ghassany kwa Ahmed Rajab:

Mohamed Said: DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU"

Ukimaliza kusoma In Sha Allah rejea tena hapa Majlis tujadili.

Nguruvi3,
Niangalia hapa niko ofisini kwa Ahmed Rajab London na katika moja ya "past time zetu"
ilikuwa kuzungumza historia ya Zanzibar na marehemu Abdulrahman Babu akiwepo.

Nitazame vyema hapo nilikuwa kijana mdogo na miaka mingi sasa imepita.
Najua mengi katika historia ya Zanzibar kutoka ndimi za Wazanzibari wenyewe:

[/QUOTE]

Hili hapo chini ni bandiko jingine kuuliza kulikoni?:

Ndugu zangu Wanamajlis,
Imekuwaje bandiko langu limechafuliwa?

Picha hiyo hapo chini nimemuwekea Nguruvi3 ili tufahamiane vizuri na nikaweka
na maelezo kuwa niko na Ahmed Rajab London miaka mingi sana iliyopita nikiwa
mtoto na iko siku tulizungumza mengi katika historia ya Zanzibar mbele ya marehemu
Abdulrahman Babu.

No comments: