<iframe width="560" height="315" src="https://www.youtube.com/embed/3VeQ68FgRRM" frameborder="0" gesture="media" allow="encrypted-media" allowfullscreen></iframe>
Mazigazi,
Hilo unalotaka kujinasibisha nalo labda uonekane wewe ni mzalendo si
sawa.
Hujisaidii wewe mweyewe wala hunisaidii mimi wala nchi yetu.
Narejea tena.
Jifunze kwanza ukweli au uongo wa maneno yangu ndipo utakuwa na sauti
ya kuzungumza.
Ikiwa nasema uongo leta uwanjani uongo wangu na kama nasema kweli
tujadili vipi tutaiepusha nchi yetu na hili janga.
Kujifaya wewe ni mzalendo sana haisaidii.
Sisi wazee wetu ndiyo walioikomboa nchi hii kutoka mikono ya ukoloni.
Nikikupa historia ya babu yangu nitakuacha mdomo wazi.
Mikono yake ndiyo ilijenga hiyo ofisi leo unaiona hapo Lumumba tena kwa
kujitolea kila Jumapili.
Hii ilikuwa kati ya 1929 - 1933.
Kaongoza mgomo wa nchi nzima 1947 kisha tena 1949.
1953 yumo katika kamati ya siri ya kuunda TANU.
1955 kaunda Tanganyika Railways African Union akiwa president.
1960 kaongoza mgomo wa kihistoria wa Relwe uliodumu siku 82.
Yote haya kupinga dhulma.
Jina lake Salum Abdallah.
Haijapata kutokea Afrika nzima mgomo uliodumu kipindi kirefu kama
hicho.
Mgomo unaokaribia ni wa Makhan Singh, Kenya uliodumu siku 62.
Ukitaka kuijua historia hii soma kitabu cha Abdul Sykes uujue ukweli na
uone wapi nchi iliteleza.
Sasa wewe huwezi kuwa na uchungu na nchi hii kunishinda.
Wa kuleta ''chonde chonde'' hapa si wewe na mfano wa wewe.

No comments:
Post a Comment