Sunday, 29 May 2016

WELCOMING RAMADHAN CONFERENCE MAIN EVENT



Kushoto Abdallah Ubaya na Khamis Bin Nassor kutoka Radio Kheri wakirusha
kongamano mubashara kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere

Dr. Gharib Bilal akifungua kongamano

Ahmed Saggaf





Sheikh Qassim Bin Ali Khan na Dr. Gharib Bilali
Dr. Qassim Bin Ali Khan

Add caption
Dr. Muhsin Salum Mkurugenzi Mkuu Amana Bank


Aliyevaa kanzu na kofia ni Sheikh Shemtoi kutoka Tanga
Sheikh Qassim Bin Ali Khan
Kushoto: Sheikh Ibrahim kutoka Zanzibar
Katikati ni Sheikh Othman Matata Mhadhir Maarufu



Kushoto: Imanm Suleiman, Prof. Lipumba na Sheikh Ponda



Katikati ni Sheikh Khalid Mtwangi Mwandishi Mashuhuru  na kushoto ni Kassim
Ibrahim Kiongozi wa Vijana
Sheikh Qassim, Dr. Bilal, Sheikh Kamilagwa na Dr. Muhsin 


Mshiriki akichangia mada

Mke wa Sheikh Qassim akitoa nasaha zake




Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Sotele inayoendeshwa na TAMPRO (Tanzania
Muslim Professionals) waliofanya vizuri katika mitihani yao
Sheikh Hassan Mnjeja ''Educationists''  
Mshiriki akichangia mada


Sheikh Arafat Khan mmoja wa  wafadhili wa kongamano ukoo wa Khan
umejipemmbua katika utumishi wa Allah

 Sheikh Qassim Bin Ali Khan akimkabidhi Dr. Muhsin cheti cha kuishukuru
Amana Bank kwa kufadhili kongamano


Ahmed Hashim akipokea cheti kutoka kwa Sheikh Qassim kwa niaba ya Radio
Kheri kwa kurusha matangazo ya kongamano


No comments: