Friday, 7 February 2014

Bunge la Katiba: CV ya Prof. Hamza Mustafa Njozi Haikuandikwa Sawasawa na Wataalam wa Ikulu

Hili ni jibu langu kwa mwandishi aliyeonyesha dosari katika CV ya Prof. Njozi

Kwanza nikushukuru kwa kuonyesha hisia zako katika hili la Prof. Njozi.

Nipe ruhusa nikupe kisa kuhusu kesi ya maandamano ambayo vijana wengi
wa Kiislam walikamatwa kwa ''kuandamana.''

Maandamano hayo yalihusu kupinga dhulma za NECTA kwa Waislam.

Mmoja wa vijana waliokamatwa alipopata ruhusa ya kujitetea kabla
hukumu haijatolewa alimuuliza hakimu, ''Mheshimiwa Hakimu nini maana
ya kuandamana?''

Hakimu akamfahamisha.

Yule kijana akamwambia hakimu, ''Mheshimiwa hakimu mimi siku hiyo
nilikuwa peke yangu natembea karibu na Picha ya Bismini ndipo
nikakamatwa nikaja kujua baadae kuwa siku hiyo kila aliyevaa kanzu
alikuwa anakamatwa lakini mimi sikuwa katika maandamano.''

Huyu kijana na wenzake kama yeye ''wavaa kanzu'' wote walitiwa hatiani 
na wamefungwa.

Huu ndiyo ukweli wa nchi yetu.
Muislam hana thamani.

Sasa sina haja ya kwenda Madina na Lwange ambako polisi wamevamia vijiji
na kuua Waislam, kuchoma nyumba zao na misikiti.

Vyombo vyote vya habari vimekataa kuandika kuhusu hili.

Binafsi nimezungumza na vyombo vyote vikubwa, BBC, DW na nimewapa ushahidi wa
dhulma ile. 

Wote kimya.

Turudi kwa Prof. Hamza Njozi.

Katika CV yake hawakuweka baadhi ya vitabu vyake kama ''Mwembechai Killings 
and the Political Future of Tanzania,'' na ''Muslim and the State in Tanzania.''

Ni katika kitabu hiki, ''Muslim and the State in Tanzania,'' kwa mara ya 
kwanza katika kitabu msomaji anakutana na neno, ''Christian System,''
(Mfumo Kristo) uk.25.

Hii ni katika kueleza ushawishi wa Kanisa katika serikali ya Tanzania.

Katika mengi ambayo wengi hawayajui kuhusu Prof. Njozi ni kuwa wakati
anafanya shahada yake ya pili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alifanyiwa 
njama za kufelishwa na akafelishwa japo kuwa yeye ndiye aliyekuwa akiongoza
darasa kwa uhodari.

Mimi binafsi nimepata kufatana na Prof. Njozi katika mikutano ya kimataifa
ambako alitoa mada za kusisimua.

Nimewahi kufuatana na Prof. Njozi Kampala (2003), Nairobi (Chuo Kikuu Cha
Kenyatta, (2006)na Chuo Kikuu Cha Johannesburg (2006). 

Kuwa watendaji wa serikali hawamjui Prof. Njozi hili sikubali.
Kama hawamjui msomi wa kiwango wa Prof. Njozi watamjua msomi gani?

Hii ndiyo hatari dini moja kuhodhi madaraka yote ya serikali.

Sasa siku hizi ukitahadharisha kuhusu hili unaitwa, ''mchochezi'' kama si
''gaidi.''

Kushoto Kwenda Kulia: Prof. Njozi. Mohamed Said Johannesburg 2006

Kushoto Kwenda Kulia: Mohamed Said, Prof. Hamza Mustafa Njozi
Kenyatta University, Nairobi 2006

Hili bandiko hapo chini nimelitoa Mwanahalisi Forum

  1. CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Wakati nipo chuo kikuu, dk mmoja aliwahi kutuambia Mtu akiwa na dk au Prof ukamkatisha au kuficha cheo kwa makusudi au kwa bahati mbaya katika andishi lolte basi mtu huyo humtendei haki, lakini alitusia inajenga picha mbaya kwake.
    Alisema ndio maana katika andishi lolote lile, mtu mwenye elimu ya dk au Prof lazima utalikuta.

    Leo majina ya bunge la katiba yametoka. Binafsi nimevutiwa na nimezama sana katika kuangalia majina katika sekta ya elimu.
    Haya ni majina ya wasomi. majina yote yamepewe heshima yake.
    Nilipoliona jina la Prof njozi, makamo mkuu wa morogoro Islamic university nilifarijika sana.
    Mosi CV yake ni kubwa
    pili ni mwanahakarakati alieandika kitabu cha mwembechai killing kilichopigwa marufuku ambacho kinachozungumzia Chanzo cha mauji ya mwembechai. 
    uwepo kwake katika bunge la katiba ni faraja kwa wanaharakati wengi hapa nchini.
    lakini jina hilo limewekwa kama la mtoto wa sekondaru school au kama mti uliokatwa majani au ahata kuku alienyonyolewa manyoya.
    . inawezekana bahati mbaya au tu kwa makusudi ili kuonekana ili kuficha kwamba Prof njozi mkuu wa chuo kikuu cha kiislam sio mwenye elimu inayofikia hata DK.
    Haya hapa ni majina nyanja ya elimu

    TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
    TANZANIA BARA
    1. Dr. Suzan Kolimba 2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo
    3. Dr. Natujwa Mvungi 4. Prof. Romuald Haule
    5. Dr. Domitila A.R. Bashemera 6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa
    7. Prof. Bernadeta Kilian 8. Teddy Ladislaus Patrick
    9. Dr. Francis Michael 10. Prof. Remmy J. Assey
    11. Dr. Tulia Ackson 12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
    13 Hamza Mustafa Njozi

    JEE COMPUTER YA IKULU ILIKUWA NA HAKI KUIRUKA NENO PROF?

    CV YA HAMZA NJOZI (KAMA COMPUTER ILIVOANDIKA)

    Professor Hamza Mustafa Njozi is the current Vice Chancellor of the Muslim University of Morogoro. Before his appointment at this University, Dr Hamza Njozi was a Professor in Literature at the University of Dar es Salaam where he served in various capacities from 1983-2007. Dr. Njozi has edited and authored several books. His book, The sources Of the Qur’an: A Critical Review of Authorship Theories has been translated into Russian, German, Turkish and Spanish languages. In 1998 he served as an East African Visiting Scholar at the Centre of African Studies, SOAS, University of London and in the following year as a Fulbright Scholar at the Centre for African Studies, University of Florida. From September 2001 to May 2002, Dr. Njozi was Guest Scholar at Uppsala University under the sponsorship of the Swedish Institute. He obtained his BA and MA degrees at University of Dar es salaam and his doctorate degree from the National University of Malaysia (UKM). In 1995 he attended the Folklore Fellows Summer School at the University of Joensuu, Finland. He has published many articles in the field of Literature and Folklore. Dr. Njozi is married to Fatma bt. Burhani and they have six children.

    [/SIZE]
    [/SIZE]
    Last edited by Killer; Yesterday at 22:37.
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  2. #2
    Killer is offline
    Super ModeratorArrayKiller's Avatar

    Join Date
    Dec 2013

    Location
    Bangkok -Thailand

    Posts
    80
    Rep Power
    501

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    katika nchi za demokrasia. mwandishi wa majina haya angalitakiwa awajibishwe.
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  3. #3
    Senior MemberArrayMalaria Sugu's Avatar

    Join Date
    Dec 2013

    Location
    Mujini

    Posts
    407
    Rep Power
    1

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Quote Originally Posted by Educator View Post
    Wakati nipo chuo kikuu, dk mmoja aliwahi kutuambia Mtu akiwa na dk au Prof ukamkatisha au kuficha cheo kwa makusudi au kwa bahati mbaya katika andishi lolte basi mtu huyo humtendei haki, lakini alitusia inajenga picha mbaya kwake.
    Alisema ndio maana katika andishi lolote lile, mtu mwenye elimu ya dk au Prof lazima utalikuta.

    Leo majina ya bunge la katiba yametoka. Binafsi nimevutiwa na nimezama sana katika kuangalia majina katika sekta ya elimu.
    Haya ni majina ya wasomi. majina yote yamepewe heshima yake.
    Nilipoliona jina la Prof njozi, makamo mkuu wa morogoro Islamic university nilifarijika sana.
    Mosi CV yake ni kubwa
    pili ni mwanahakarakati alieandika kitabu cha mwembechai killing kilichopigwa marufuku ambacho kinachozungumzia Chanzo cha mauji ya mwembechai. 
    uwepo kwake katika bunge la katiba ni faraja kwa wanaharakati wengi hapa nchini.
    lakini jina hilo limewekwa kama la mtoto wa sekondaru school au kama mti uliokatwa majani au ahata kuku alienyonyolewa manyoya.
    . inawezekana bahati mbaya au tu kwa makusudi ili kuonekana ili kuficha kwamba Prof njozi mkuu wa chuo kikuu cha kiislam sio mwenye elimu inayofikia hata DK.
    Haya hapa ni majina nyanja ya elimu

    TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
    TANZANIA BARA
    1. Dr. Suzan Kolimba 2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo
    3. Dr. Natujwa Mvungi 4. Prof. Romuald Haule
    5. Dr. Domitila A.R. Bashemera 6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa
    7. Prof. Bernadeta Kilian 8. Teddy Ladislaus Patrick
    9. Dr. Francis Michael 10. Prof. Remmy J. Assey
    11. Dr. Tulia Ackson 12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
    1
    3 Hamza Mustafa Njozi

    JEE COMPUTER YA IKULU ILIKUWA NA HAKI KUIRUKA NENO PROF?

    CV YA HAMZA NJOZI (KAMA COMPUTER ILIVOANDIKA)

    Professor Hamza Mustafa Njozi is the current Vice Chancellor of the Muslim University of Morogoro. Before his appointment at this University, Dr Hamza Njozi was a Professor in Literature at the University of Dar es Salaam where he served in various capacities from 1983-2007. Dr. Njozi has edited and authored several books. His book, The sources Of the Qur’an: A Critical Review of Authorship Theories has been translated into Russian, German, Turkish and Spanish languages. In 1998 he served as an East African Visiting Scholar at the Centre of African Studies, SOAS, University of London and in the following year as a Fulbright Scholar at the Centre for African Studies, University of Florida. From September 2001 to May 2002, Dr. Njozi was Guest Scholar at Uppsala University under the sponsorship of the Swedish Institute. He obtained his BA and MA degrees at University of Dar es salaam and his doctorate degree from the National University of Malaysia (UKM). In 1995 he attended the Folklore Fellows Summer School at the University of Joensuu, Finland. He has published many articles in the field of Literature and Folklore. Dr. Njozi is married to Fatma bt. Burhani and they have six children.

    [/SIZE]
    [/SIZE]
    Pole dk Njozi. angalikuwa mwengine tzdaima kingalikuwa lisharipoti

    - - - Updated - - -

    WASIOMJUA. NI HUYU

    Interview with Prof. Hamza Mustafa Njozi Vice Chancellor of Muslim University of Morogoro

    Could you please explain the identity and philosophy of the Muslim University of Morogoro?

    It is one of the youngest and smallest universities here, but it is very vibrant. It started 6 years ago, with 3 programs: Bachelor of Arts with Education, Bachelor of Islamic Studies with Education, and Bachelor of Arts in Mass Communication. But now we have 7 programs. We have added law, business studies, science, and languages and interpretation. The idea is to produce scholars and graduates who are competent, well-trained, and who also have high moral values in serving the country.

    How can an institution combine both practical skills and spiritual potential of students?

    One of the most inspiring speeches is the farewell address of George Washington. I read it several times a year, and it is one of the best speeches I've read, especially for a country like Tanzania, it is really inspiring. Some of his points that he addressed had to do with the moral integrity of a nation. No matter how competent you may be, if you don't have the moral values which give you the desire of serving and standing up in favor of the poor, against corruption, then the nation is likely to sink. You may have leaders who are using those positions to enrich themselves. Now this is a moral question. We emphasize to our graduates that if this country is to make progress, you must be morally upright.

    Is the university interested in partnering with institutions abroad?

    We take students of all faiths. Our staff are from all religious backgrounds. 80% of the staff are Christians, as a matter of fact. We have non-Muslim students studying there. We certainly have interest in partnering with others.

    What do you believe is the way forward with developing rural areas and eradicating poverty in Tanzania?

    The underlying philosophy of our university is that it should serve as a driver of development. In the context of Tanzania's situation, that can only be through agriculture. That is the way we can resolve the huge paradox of African countries. We have a continent very rich in minerals, natural resources, everything, yet it is populated with people who are living in poverty. That can only be resolved if we can change the mindset of the intellectuals in the country. So far, our educational system was modeled after the British system. Now the focus of the country has changed, but the educational system hasn’t. There are very few jobs now. The potential here with agriculture is huge. What we try to impress upon our students is that they should be agents of change, wherever they are. We cannot always focus on educating our youth to find jobs elsewhere. We want them to see the richness of this country. Instead of seeking jobs, they should be job creators, because the jobs ARE there, if they see the potential.

    What is the best way to develop the future leaders of Tanzania?

    There are two types of leaders. There are those voted into office. These are not the leaders we are talking about. We are talking about leaders in the sense of those who aren't voted into office, but assume leadership by guiding others. It may just be in the street. You see a problem and you mobilize others to solve that problem. You have helped the community, even if not in office. We need someone who says ¨We can solve this problem, and this is what we should do.¨ In terms of political leadership, we need leaders who are very clear in their minds as to where they want to take the nation. This is the first condition. If you are leading, you should know where you are leading your people to, if not, there will be problems.

    If you were in charge of creating the curriculum of Tanzania's education system, what changes would you make?

    Like all other universities, we encourage our students to think. This may appear to be something very banal, but it's a real problem. In the world today, with the kind of information shared through the media, it's very easy for people to stop thinking for themselves. They can start thinking of words instead of thinking of ideas. That's the whole idea of being independent and self-determined. As a curriculum, the most important point we insist in any program is the notion of problem-solving. Even in our exam questions, we encourage this. By doing this, we invite the students to solve that particular problem, using critical thinking. If you read the newspapers these days, everyone is just complaining, no one is proposing solutions. They just say ¨To solve this problem the government must do something!¨ That is not proposing a solution. That is the problem of not thinking for oneself.

    Are you excited about the way increased access to the internet will change education in the country?

    Yes, definitely. One of the advantages of the internet is that the internet can help us solve some of these problems. There may be someone who would like to do something which you'd also like to do, but somehow there is no contact between these two people. Now, the internet provides those types of links so-long as you know how to make good use of it. Technology has the quality that once it has set in, there is no way to go back or ignore it, The best thing is to take advantage of it and use it to solve problems, to contact people. Things will definitely be better in the future, and it all depends on the spirit people have about achieving things. The surest way to fail is if you've already lost hope. Once you have shown the way and others have seen what is possible, they will follow.

    What makes you proud to be a Tanzanian?

    I'm very proud and what makes me proud is that so far, we have managed to live in peace and tranquility in Tanzania. It is not something we can take for granted, and we have seen that from many other African countries. We have many challenges facing us, of course, but we have managed to live in harmony, even
    Kikwete ukiondoka madarakani wengi tutakukumbuka kwa mazuri yako na wengine tutalia
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  4. #4
    deo 
    deo is offline
    Junior MemberArray

    Join Date
    Jan 2014

    Posts
    4
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Labda wamefanya hivyo kwa sababu. Usicheze na jeykey
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  5. #5
    Sifuri is offline
    MemberArray

    Join Date
    Dec 2013

    Posts
    44
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Mohamed said anaweza kutolea ufafanuzi zaid. lkn nivugumu kuamini kama mchapaji amekosea. inawezakana alikuwa na ajenda maalum.
    rais kikwete anatakiwa awe macho sana kipindi hichi na watendaji kama hawa. wote wamepewa prof au dk, yeye tu huku mchapaji akijua huyu ni makamo mkuu wa chuo.

    - - - Updated - - -

    Quote Originally Posted by deo View Post
    Labda wamefanya hivyo kwa sababu. Usicheze na jeykey
    mohd said aliwahi kuandika jana tu. baadhi ya watendaji ndani ya serekali wanaweka maslahi ya dini mbele badala ya utaifa.
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  6. #6
    PM2013 is offline
    MemberArray

    Join Date
    Dec 2013

    Posts
    44
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    hi hatari.kama taifa limefikia hapa, basi ni wazi tunatakiwa tujiangalia upya. Jk chunguza jambo hili. hii ni tz? karani ananguvu ?
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  7. #7
    Junior MemberArray

    Join Date
    Dec 2013

    Posts
    20
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    pengine kaonekana kafoji vyeti hasa ukizingatia chuo anachokiongoza. lkn juu ya hayo. Hapa pamechemshwa. hapa sawa na Prof Shivji kumuita Shivji
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  8. #8
    MemberArrayNakma Ahsam's Avatar

    Join Date
    Jan 2014

    Posts
    41
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Quote Originally Posted by Educator View Post
    Wakati nipo chuo kikuu, dk mmoja aliwahi kutuambia Mtu akiwa na dk au Prof ukamkatisha au kuficha cheo kwa makusudi au kwa bahati mbaya katika andishi lolte basi mtu huyo humtendei haki, lakini alitusia inajenga picha mbaya kwake.
    Alisema ndio maana katika andishi lolote lile, mtu mwenye elimu ya dk au Prof lazima utalikuta.

    Leo majina ya bunge la katiba yametoka. Binafsi nimevutiwa na nimezama sana katika kuangalia majina katika sekta ya elimu.
    Haya ni majina ya wasomi. majina yote yamepewe heshima yake.
    Nilipoliona jina la Prof njozi, makamo mkuu wa morogoro Islamic university nilifarijika sana.
    Mosi CV yake ni kubwa
    pili ni mwanahakarakati alieandika kitabu cha mwembechai killing kilichopigwa marufuku ambacho kinachozungumzia Chanzo cha mauji ya mwembechai. 
    uwepo kwake katika bunge la katiba ni faraja kwa wanaharakati wengi hapa nchini.
    lakini jina hilo limewekwa kama la mtoto wa sekondaru school au kama mti uliokatwa majani au ahata kuku alienyonyolewa manyoya.
    . inawezekana bahati mbaya au tu kwa makusudi ili kuonekana ili kuficha kwamba Prof njozi mkuu wa chuo kikuu cha kiislam sio mwenye elimu inayofikia hata DK.
    Haya hapa ni majina nyanja ya elimu

    TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
    TANZANIA BARA
    1. Dr. Suzan Kolimba 2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo
    3. Dr. Natujwa Mvungi 4. Prof. Romuald Haule
    5. Dr. Domitila A.R. Bashemera 6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa
    7. Prof. Bernadeta Kilian 8. Teddy Ladislaus Patrick
    9. Dr. Francis Michael 10. Prof. Remmy J. Assey
    11. Dr. Tulia Ackson 12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
    13 Hamza Mustafa Njozi

    JEE COMPUTER YA IKULU ILIKUWA NA HAKI KUIRUKA NENO PROF?

    CV YA HAMZA NJOZI (KAMA COMPUTER ILIVOANDIKA)

    Professor Hamza Mustafa Njozi is the current Vice Chancellor of the Muslim University of Morogoro. Before his appointment at this University, Dr Hamza Njozi was a Professor in Literature at the University of Dar es Salaam where he served in various capacities from 1983-2007. Dr. Njozi has edited and authored several books. His book, The sources Of the Qur’an: A Critical Review of Authorship Theories has been translated into Russian, German, Turkish and Spanish languages. In 1998 he served as an East African Visiting Scholar at the Centre of African Studies, SOAS, University of London and in the following year as a Fulbright Scholar at the Centre for African Studies, University of Florida. From September 2001 to May 2002, Dr. Njozi was Guest Scholar at Uppsala University under the sponsorship of the Swedish Institute. He obtained his BA and MA degrees at University of Dar es salaam and his doctorate degree from the National University of Malaysia (UKM). In 1995 he attended the Folklore Fellows Summer School at the University of Joensuu, Finland. He has published many articles in the field of Literature and Folklore. Dr. Njozi is married to Fatma bt. Burhani and they have six children.

    [/SIZE]

    [/SIZE]

    Jina limewekwa mwisho. inawezekana mchapaji alikuwa ashalitia kwenye box la taka, huku na huku akaona atoe pro.
    Ukisema utaambiwa mdini. ukiacha taifa linaweza kuathirika. sijui kiumbe tufanyeje

  9. #9
    Junior MemberArray

    Join Date
    Dec 2013

    Posts
    21
    Rep Power
    0

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    haki yake apewe. ni prof kama maprof wengine
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      
  10. #10
    Senior MemberArray

    Join Date
    Jan 2014

    Posts
    127
    Rep Power
    1

    Re: CV YA PROF NJOZI WA BUNGE LA KATIBA. COMPUTER YA IKULU ILIPOGOMA

    Quote Originally Posted by Nakma Ahsam View Post
    [/COLOR][/SIZE]

    Jina limewekwa mwisho. inawezekana mchapaji alikuwa ashalitia kwenye box la taka, huku na huku akaona atoe pro.
    Ukisema utaambiwa mdini. ukiacha taifa linaweza kuathirika. sijui kiumbe tufanyeje

    - - - Updated - - -

    [/COLOR][/SIZE]

    Jina limewekwa mwisho. inawezekana mchapaji alikuwa ashalitia kwenye box la taka, huku na huku akaona atoe pro.
    Ukisema utaambiwa mdini. ukiacha taifa linaweza kuathirika. sijui kiumbe tufanyeje
    pengine bahati mbaya sio kama unavyofikiria wewe
    Quick reply to this messageReply   Reply With QuoteReply With Quote   Multi-Quote This Message      

+ Reply to Thread

Quick Reply Quick Reply

No comments: