Saturday, 11 January 2014

Kipindi Maalum Radio Kheri 104.10 FM: Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Abeid Amani Karume
Displaying 20140111_095825.jpg

Mwandishi Akifanya Rejea Kutoka Kitabu Cha Dk, Harith Ghassany
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru'' Katika Kipindi Maalum cha
Mapinduzi ya Zanzibar
Tumemaliza kufanya kipindi Mubashara cha Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Insha Allah tutaweka audio file.

Waliozungumzwa:
  1. Dk. Harith Ghassany Mwandishi wa Kitabu '''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''
  2. Abeid Amani Karume
  3. John Okello
  4. Victor Mkello
  5. Mashamba ya Mkonge ya Sakura na Kambi ya Kipumbwi
  6. Jumanne Abdallah
  7. Ali Mwinyi Tambwe
  8. Abdallah Kassim Hanga na Mwisho Wake
  9. Abdulrahman Babu
  10. Oscar Kambona
  11. Mohamed Omari Mkwawa
  12. Victor Mkello
  13. Mamluki Kutoka Mashamba ya Mkonge ya Sakura
  14. Kamati ya Watu 14
  15. Jaha Ubwa
  16. Abdulaziz Twala
  17. Uchaguzi wa Mwaka 1961 na 1963
Add caption
Dk Harith Ghassany Kipumbwi
Mohamed Omar Mkwawa aliyekuwa akiwavusha jeshi la mamluki kutoka
Kipumbwi kwenda Zanzibar anavyoonekana hivi sasa.
Picha hii imepigwa mwaka 2013 
Kushoto kwenda kulia: Abdulrahman Babu, Ali Muhsin, Mohamed Shamte
Nyuma kushoto kwenda kulia Maulid Mshangama na Salim Ahmed Salim

Mwandishi akiwa msaidizi wa Dk. Harith Ghassany akipiga picha pwani ya Kipumbwi
Tanga wakati wa utafiti wa kitabu ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''
Picha imepigwa na Dk. Ghassany

Mzee Mkwawa Akiangalia Kitabu Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru
Kilichoandikwa na Dk Harith Ghassany Utafiti wa Kitabu Hicho Ambacho
Alichangia

Jamshid bin Abdullah Sultani wa Mwisho Zanzibar

1 comment:

BUTIJE BUTIJE H. said...

Nikiwa kama mtangazaji wa kipindi hicho nakupongeza sana mzee wangu Mohamed Said kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa watu wote duniani