Wednesday, 22 January 2014

Pro. Malima Kafunguliwa Uzi Jamiiforums




Ndugu zangu,
Prof. Malima hawatamuacha apumzke Barkaz...

In Sha Allah tutamuhami huko na hapa tutaweka utetezi wetu kwa yale wanayomtuhumu kwayo.
Asiye mtu ana Allah.

Quote By MTAZAMO View Post
Udini udini udini!!! ptuuuuu!
Mtazamo,
Kwani udini mbaya?

Nakuwekea kutoka maktaba yangu vitu hivyo hapo uone jinsi Kanisa lilivyochukia 
kumuona Malima kachukua nafasi.

Mdini nani hapo?
Unaijua Christian Lobby?
Wakati ule ndivyo mimi nilivyoiita.

Wakaja wenzangu wakatoa jina muafaka, ''Mfumokrsto.''

Soma hapo chini:

''Amidst all the interference and Nyerere’s influence, President Mwinyi appointed
Prof. Malima as his closest advisor and top assistant and confidant in government
affairs by making him Minister of State in the President’s Office responsible for 
Cabinet Affairs and International Co-operation. 

The Christian lobby was unhappy with Prof. Malima’s appointment.
That position was its domain it therefore felt as if it has been locked out.''

(Excerpts from Malima's biography by Mohamed Said ''Prof. Mujahid '' forthcoming).

Tutasomeshana katika darsa hii ya Malima kwa upole ili ukweli ujulikane na tuiepushe
nchi yetu na mgogoro mkubwa ambao kwa kweli hauko mbali sana.

Allah apishie mbali.

No comments: