Thursday, 9 January 2014

Tangazo la Kifo: Prof. William R. Ochieng'



Tangazo la Kifo
Prof. William R. Ochieng'

Jopo la Mprofesa wa Historia wa Kenya Kutoka Vyuo Mbalimbali


Kulia ni Prof. wa Historia William R Ochieng'
Nimepokea kwa masikitiko kifo cha Prof. Ochieng.
Mimi sikupata kumjua kwa karibu Prof. Ochieng.

Nimekutananae kwa mara ya kwanza kwenye seminar ''African Independences...Nairobi.
Tulikaa hoteli moja na kila siku asubuhi tulitoka pamoja kungia kwenye gari kwenda kwenye semina.

Kwa kipindi kifupi tulizoeaana akanipa vitabu vyake viwili kimoja kaandika mwenyewe, ''Historical Research & Methodology in Kenya'' (2013) na kingine kaandika kwa kushirikiana na wenzake wawili, ''A History of Western Kenya in the 20th & 21st Centuries,'' (2012).

Itaendelea...
Washiriki wa Seminar
Mwenye Miwani ni Prof. Muriuki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi
Seminar Poster
Lunch Break

Mwandishi Akiwasilisha Mada: ''Tanzania a Country Without Heroes''
Nyuma ni Picha Inayomwonyesha kutoka Kushoto: Dossa Aziz
Julius Nyerere, Abdulwahid Sykes na Lawi Sijaona.
Picha Ilipigwa Ukumbi wa Arnautoglo katika dhifa aliyofanyiwa Nyerere siku moja kabla ya
kwenda UNO kwa mara ya pili mwaka 1956





No comments: