![]() |
| Ali bin Abbas Mmmoja wa Waasisi wa NEMA akihakikiwa Katika Ukumbi wa Arnatouglo Chama Hiki kilikataliwa Kusajiliwa kwa Kuhofiwa kuwa ni Chama Cha Waislam |
![]() |
| Sheikh Ali bin Abbas |
Ali bin Abbas alikuwa kitabu ch historia cha mji wa Dar es Salaam na khabari zake zote. Kuanzia historia ya masheikh, uhuru wa Tangayika, historia ya Sunderland na Yanga...vyote vilikuwa katika vidole vyake.
Fuatilia ukurasa huu...
![]() |
| Sheikh Ali Abbas na James Brennan Mwanahistoria na Muhadhir kutoka Marekani Alimtembelea nyumbani kwake Mwenge kwa ajili ya kufanya mazungumzo |
![]() |
| Sheikh Ali bin Abbas na Mohamed Said |
![]() |
Khitma ya Sheikh Ali bin Abbas iliyosomwa na Wapenzi Wake Mtaa wa Swahili baaada ya Salat Isha Mbele ya Club ya Pan African tarehe 23 Mfungo Sita 1435 /25 Januari 2014![]() |






No comments:
Post a Comment