Ukurasa wa Mbele wa Gazeti la Dira la Jumatatu 20 Januari 2014.
Katika website hii mohammedsaid.com huu tuna ''Al Shabab wa Kufikirika....
Kisha tuna ''Kuwepo kwa Kambi za Ugaidi Tanzania ni Uongo Uliokubuhu...
Mpaka sasa hatujaonyeshwa picha ya magaidi, kambi zao wala silaha zilizokamatwa...
Lakini Madina kuna Waislam wameuliwa kwa kisingizio cha ugaidi na tukasoma kuwa watoto wanafanyiwa ''debriefing'' baada ya ''indoctrination...'' katika vijiji vya Madina na Lwande.
Lakini ukweli ni kuwa hicho wanachoita ''indoctrination'' ni tahfidh ya Qur'an.
Watoto kuhifadhishwa Qur'an imekuwa ni ugaidi.
Madina imepigwa marufuku na serikali kuwa sehemu ya makazi...
Watuhumiwa wa ugaidi hiki ndicho kilikuwa kijiji chao...
Sasa Dira anakuja na hiyo hapo juu...
Kuna Al Qaeda nchini.
Huenda serikali ya Marekani wakatuona kwa hakika tumetia fora katika vita dhidi ya ugaidi...
Lakini Waamerika si wajinga..
Hii kwa huku kwetu haiwasaidii sana khasa ukichukulia kuwa Amerika ni taifa linalipenda sana kupendwa...
Wanajua wazi hawana ugomvi na Waislam wa Tanzania...
Tutaendelea In Sha Allah kufuatilia hii hadithi ya magaidi wa kufikirika kama magazeti yanavyotujuvya.

Picha Kutoka Vijiji Vilivyoangamizwa Kwa Kusingiziwa Ugaidi
No comments:
Post a Comment