Uzi huu ulivunja rekodi ya Jamii Forums.
Ulidumu kwa miezi sita na kuna wakati mwandishi alikuwa anasomwa na watu 100, 000 kwa siku.
Tatizo ni kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika kama inavyoelezwa na mwandishi ilikuwa inapingwa na baadhi ya wana JF.
Mwandishi alisimama kuitetea kwa miezi sita akisaidiwa na vijana wachache dhidi ya umma mkubwa wa wapinzani.
Ingia hapa uone yaliyokuwa yakisemwa.
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=383235

![]() |
| Wakati Mwalimu Nyerere Alipokuwa Hana Ndugu Hawa ''Wavaa Kanzu na Baragashia'' Ndiyo Waliokuwa Ndugu Zake |
![]() |
| Uwanja wa Karimjee Hall Siku Waziri wa Makoloni Ian Macleod Alipotanganza Uhuru wa Tanganyika Angalia Kwa Makini Waliomzunguka Mwalimu Jullus Nyerere na hao Ndiyo Waliombeba Katika Mabega Yao Kwa Furaha na Mategemeo Makubwa ya Siku za Usoni. Je, Ndoto na Mategemeo Yao Yalitimia? Katika Watu Waliokuwa Karibu na Nyerere Siku Ile naWanaonekana Katika Kila Picha ni Sheikh Issa Nasir wa Bagamoyo na Rajab Diwani |

No comments:
Post a Comment