Africa Events Vol. 5 No. 9 September 1989

Niliaanza kuandika na gazeti la Africa Events mwaka 1988. Gazeti hili likichapwa London na mhariri wake wa kwanza alikuwa Mzanzibari Mohamed Mlamali Adam.
Unaweza kumtambua huyo aliye kwenye jalada la toleo hilo hapo juu Africa Events Vol. 5 No. 9 September1989 ni nani?
Huyo ni Salim Ahmed Salim wakati huo Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU).
Ndani ya gazeti hili kuna makala yangu iliyochapwa kuhusu Salman Rushdie na kitabu chake ''The Satanic Verses:''

![]() |
Mwandishi na mkewe Mh. Riziki Shahari nyumbani kwa Salim Ahmed Salim |
No comments:
Post a Comment