Thursday, 1 May 2014
KUTOKA JAMII FORUMS: NANI BARAKA SHAMTE?
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Mohamed Said
Tunashukuru kwa jitihada zako za kuitafuta na kuiweka wazi historia halisi ya uhuru ya nchii hii.
Kisa hiki cha Ali Muhsin ni moja ya mambo ambayo vijana wengi hawajui ni nani na upi mchango wake katika harakati za uhuru wa Zanzibar.
Kuna mtu mmoja muhimu katika historia ya Zanzibar huru, huyu si mwengine balii ni Sheikh Mohamed Shamte, waziri mkuu wa Zanzibar huru.
Wengi hatujui historia yake,
Alikotoka na nini kilimfika baada ya mapinduzi
Jee na yeye aligungwa magereza ya nyerere ? Kuna mtu anajinasibu naye kule zanzibar Bakari Shamte huyu mpaka nishani ya miaka 50 ya mapinfuzi katunukiwa.
Tunakuomba hebu utufanyie utafiti kidogo kuhusu Mohamed Shamte na maisha yake.
Natanguliza shukrani
Introduction Below is a cut and paste from Wikipedia. Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzi...
No comments:
Post a Comment