Monday, 1 September 2014

KUTOKA JF: KITABU CHA ABDULWAHID SYKES

Quote By kmbwembwe View Post
historia gani ya tanganyika kwa mtizamo wa uislaam? mlitaka kila mswahili aliyechangia kupigania uhuru atajwe kama shujaa na watoto wake kupewa vyeo hata bila elimu? bara watu wengi walichangia ila waswahili wa dar kulalamika hakuishi. nyinyi wachochezi tu msilete sera za el shabaab.

kmmbwembwe,

Mimi nakusihi ukisome kitabu ili ujue nini kilichoandikwa.

Vinginevyo na hili ndilo tatizo ambalo naliona hapa JF, kila linapokuja suala
la kusoma, kuandika na kufanya utafiti watu wanakimbia.

Sasa mimi nakuomba kisome kitabu hiki ndipo urudi jamvini kufanya majadiliano.

Kukusaidia uone kitabu kina nini nakuwekea hapa chini sura zake na maudhui
yaliyomo ndani:

Table of Contents
1. Dedication
2. Acknowledgements
3. Table of Contents
4. Introduction

Part One
Abdulwahid Sykes 1924-1968
Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
· The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
· World War One 1914-1918
· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945
· The Burma Infantry, 1942
Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950
· Dar es Salaam Port, 1947
· Erika Fiah
· The Dockworkers’ Union, 1948
Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
· The Tanganyika African Association, 1950
· TAA Political Subcommittee, 1951
· Tanganyika as a Mandate Territory
· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
· The Meru Land Evictions, 1950

Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
· The Story of Julius Nyerere, 1952
· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954

Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes
Part Two
Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
· The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
· Idd Faiz Mafongo
· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
· Propagandists-The Bantu Group,1955
· Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
· Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
· Central Province, 1955
· Southern Province, 1955
· Western Province, 1955
· Tanga Province, 1956
· TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
· The Tanga Strategy, 1958
· The Debate for Tripartite Voting
· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
· Independence, 1961
Part Three
Conspiracy Against Islam 1961-1970
Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
· Islam: The Ideology of Colonial Resistance
· The First Muslim Congress, 1962
· Resistance to Change
· The Second Muslim Congress, 1963
· Proposal for an Islamic University, 1964
· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
· The Islamic National Conference, 1968
· Omissions Analysed
· Betrayal of Ideals
· Conspiracy Theory
· Epilogue
· Bibliography
kmmbwembwe,
Nakuwekea hapa chini picha moja ya kihistoria iliyopigwa wakati wa kupigania uhuru:


No comments: