Thursday, 9 July 2015

MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QUR'AN DIAMOND JUBILEE HALL

Mgeni Rasmi Al Haj Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu
Wanaoshindana


Mshindani Kutoka Yemen
Wasikilizaji

Azam TV Ikirusha Matangazo Moja Kwa Moja Kutoka Ukumbini



Watangazaji wa Radio Kheri Abdallah Said Nassor na Khamis Nassor Abdallah Wakirusha Matangazo Moja Kwa Moja Kutoka Ukumbini

Baadhi ya Wageni Waalikwa Kutoka Oman na Indonesia

Shekh Othman Kaporo Mwalimu wa Kuhifadisha Qur'an
Sheikh Abdallah Jabir (Tanzania Haj Trust) na Sheikh Ali Zuberi (Kaimu Mufti wa BAKWATA)
Katikati ni Sheikh Mohamed Ali Hassan Hafidh wa Qur'an na Msomi wa Madina Kasomeshwa Qur'an Yote na
Marehemu Bibi Yake Bi. Fattuma


Mgeni Rasmi Al Haj Ali Hassan Mwinyi Akihojiwa

No comments: