|
Kushoto: Prof. Ibrahim Lipumba, |
|
Kushoto: Mohamed Omari Mkwawa, Juma Duni Haji na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba nyumbani kwa Mama Ummy |
Prof. Lipumba na Juma Duni wakiwa White Rose Hotel Tanga
|
Prof. Lipumba kihojiwa na Mariam Shamte wa BBC Swahili |
|
Juma Duni Haji akizungumza Korogwe kwenye mkutano wa kampeni Uchaguzi Mkuu wa 1995 |
|
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba akihutubia mkutano wa kampeni Korogwe
|
|
Kushoto Mkuu wa Msafara wa Prof. Lipumba Nyauba akiwa na Prof. Lipumba Tanga |
Mwandishi akiwa katika timu ya Prof. Lipumba katika Uchaguzi wa 1995 hapa ni Korogwe katika mkutano wa hadhara
|
Wanachana wa National Reconstruction Allaince (NRA) hawa walihamia Civic United Front (CUF) baada
ya kifo cha Prof. Kighoma Malima
Kushoto waliosimama wa pili Shaaban Mzuzuri, Mwandishi, Saleh Yongo, Adam Juma wa mwisho mwenye kofia Mzee Jaffari |
|
Prof. Lipumba miezi michache kabla ya kujiuzulu uenyekiti wa CUF akiwa ofisini kwake Makao Makuu ya CUF Bara Buguruni |
No comments:
Post a Comment