Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake jambo afichalo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Ali Muhsin Barwani |
Sheikh Ali Muhsin Barwani |
Ingia hapo chini kusikiliza Kipindi Maalum kilichofanywa na Radio Kheri kuhusu Maisha ya Sheikh Ali Muhsin Barwani tarehe 12 Januari 2015:
http://www.mohammedsaid.com/2015/01/skh-ali-muhsin-barwan.html
Azam TV walifanya pia Kipindi Maalum kama inavyoonekana hapo chini mtanzagaji Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi:
Meneja wa Radio Kheri Hassan Abdulla akimhoji Mwandishi |
Azam TV walifanya pia Kipindi Maalum kama inavyoonekana hapo chini mtanzagaji Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi:
No comments:
Post a Comment