Kesho Mapinduzi Day In Sha Allah nitakuwa na Kipindi Maalum Azam
TV kuhusu Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 saa moja unusu
asubuhi. Wakati huo huo Uhai FM 107.30 watarusha kipindi ambacho walinirekodi
leo kuhusu hayo hayo mapinduzi.
Mtangazaji Fadhili Haule wa Uhai FM 107.30 akifanya mahojiano na Mwandishi Kipindi Maalum Cha Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 |
No comments:
Post a Comment