‘’Acha tupambane... wale
watakaokuja baada yetu watamaliza yatakayobakia.’’
Barua ya Kleist Sykes kwa Mzee bin Sudi, Rais wa African Association, 1933
Mnamo
tarehe 9 Desemba, 1961 TANU ilinyakua mamlaka ya serikali kutoka kwa Mwingereza
ikimaliza miaka 75 ya utawala wa kikoloni.
HISTORIA YA TANU CHAMA CHA UKOMBOZI WA TANGANYIKA
Raia Mwema 12 Julai - 16 Julai, 2017
Robert Makange akihariri gazeti la TANU
|
Bi. Titi na wanachama wa Tawi la TANU Magomeni, 1955
(Picha kwa hisani ya Mzee Kassanda ambae mama yake alikuwa mwanachama wa Tawi la TANU Magomeni)
(Picha kwa hisani ya Mzee Kassanda ambae mama yake alikuwa mwanachama wa Tawi la TANU Magomeni)
No comments:
Post a Comment