![]() | ||||||||||||||
Kleist Abdulwahid Sykes (1950 - 2017) |
Ratiba ya Mazishi
Alhamis
23/11/2017
Msiba
nyumbani Kawe Beach karibu na Mediterraneo Hotel
Saa 5
asubuhi mwili kuwasili nyumbani
Saa 7 mchana
adhuhur kusaliwa jeneza (maiti) hapo
nyumbani
Saa
8:30 Jeneza kuelekea Masjid Maamur
Upanga
Baada ya
sala ya alasiri na kusalia jeneza itaelekea Makaburi ya Kisutu
No comments:
Post a Comment