Friday 24 November 2017

RAMBIRAMBI KLEIST TBC




Ndugu zanguni mimi nimeangalia TBC taarifa ya habari ya jana 
usiku tarehe 23 Novemba siku aliyozikwa Kleist Sykes

Rambirambi zilikuwa na makosa. 

Mtangazaji anampa Kleist sifa za kuasisi African Association 1929 
sifa ambayo ni ya babu yake jina lake Kleist Sykes Mbuwane

Kisha mtangazaji anampa Kleist sifa ya kuasisi TANU 1954 na 
kupigania uhuru wa Tanganyika ambayo ni sifa ya baba yake 
Abdulwahid Kleist Sykes.

Mtangazaji wa TBC Eva Sesoa kulia akiwa na wenzake nyumbani kwa Kleist Sykes

Habari Leo Ijumaa, Novemba 24, 2017
Uhuru, Ijumaa Novemba 24, 2017

No comments: