Friday, 3 January 2014

Kumkukumbu ya Miaka 52 ya Uhuru 9 Desemba 2013 - Radio Kheir 104.10 FM Na Mohamed Said


Picha hii ilipigwa katika miaka ya katikati ya 1950
Hapa ni Mtoni, Dar es Salaam Shambani kwa Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo
Nyerere amekaa katikati ya Liwali Ahmed Saleh kushoto mwenye kilemba na Bilali Mshorwa aliyevaa tarbush

No comments: