Wednesday, 1 January 2014

Maisha ya Ally Sykes Mohamed Said akizungumza na Radio Noor FM 93.3 Masjid Sahaba Mtoni Zanzibar


Jengo la Arab Association 
Hapa ndipo Ahmed Rashad Ali alipokutana na Abdulwahid Sykes 1939 wakiwa
vijana wadogo msimu wa ''Sports'' (Bank Holiday)
Urafiki wao ulidumu hadi umauti na katika urafiki huu Ahmed Rashad alikuja kujua mengi katika
kuasisi TANU kutoka kinywa cha rafiki yake.
Ahmed Rashad alikuwa na Abdu Sykes Kalieni Camp India  1945 baada ya Vita vya Pili Vya Dunia
na walikuwa pamoja Cairo, Misri 1964









No comments: