Monday, 13 January 2014

Radio Nuur 94.50 Tanga



Ustadh Mashango bin Ali
Mohamed Said na Ustadh Zumo bin Ali
Sheikh Mohamed Said na Sheikh Hamud wakitoa zawadi kwa washindi wa kusoma Qur'an
Mwezi wa Ramadhani 2010

Ustadh Ali Zumo Mkuu wa Radio Nuur 94.50 FM

Radio Nuur 94.50 FM ilianzishwa na Istiqama, Tanga mwaka 2011 studio zikiwa Msikiti wa Ibadh Barabara ya 12 Tanga miezi miwili iliyopita radio imehamia kwenye jengo jipya la Ibadh Complex hapo hapo barabara ya 12. Mkabala na Soko la Ngamiani.


No comments: