Thursday, 27 March 2014

SIKIZA KIPINDI MAALUM: MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA 1964

Mwandishi Akifanya Mahojiano na Said Rashid Katibu wa Kwanza
wa Baraza la Mapinduzi Nyumbani Kwake Vuga Kuhusu Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waliokaa Kushoto Kwenda Kulia ni Abdullah Kassim Hanga na Abeid Amani Karume
John Okello
Mwandishi Akifanya Mahojiano na Baraka Shamte Kada Maarufu wa CCM Nyumbani
Kwake Mkunazini Zanzibar Kuhusu Historia ya Mapinduzi. Baraka Shamte ni Mtoto wa
 Mohamed Shamte Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar
Aliyepinduliwa Katika Mapinduzi ya 1964



Mzee Hassan Nassoro Moyo  Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Akisoma Kitabu
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru'' Nyumbani Kwake Fuoni Zanzibar
Mzee Mkwawa Alivyo Hivi Sasa Picha Imepigwa 2013
Nyumbani Kwake Tanga Akihojiwa na Mwandishi wa Kimarekani (Hayuko Kwenye Picha)
Kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar na Nafasi ya Mamluki Kutoka Tanganyika
Displaying 20140111_095825.jpg
Mwandishi Akiwasomea Wasikilizaji wa Radio Kheri Baadhi ya Sehemu Katika Kitabu
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru'' Kitabu Kilichoandikwa na
Dk. Harith Ghassany


Waliozungumzwa na Yaliyozungumzwa Katika Historia ya Mapinduzi Kwenye Kipindi cha Radio Kheri: 
  1. Dk. Harith Ghassany Mwandishi wa Kitabu '''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''
  2. Ali Muhsin
  3. Abeid Amani Karume
  4. John Okello
  5. Victor Mkello
  6. Jumanne Abdallah
  7. Ali Mwinyi Tambwe
  8. Abdallah Kassim Hanga na Mwisho Wake
  9. Abdulrahman Babu
  10. Oscar Kambona
  11. Mohamed Omari Mkwawa
  12. Mamluki Kutoka Mashamba ya Mkonge ya Sakura
  13. Kamati ya Watu 14
  14. Jaha Ubwa
  15. Abdulaziz Twala
  16. Uchaguzi wa Mwaka 1961 na 1963



Ingia hapo chini kusikiza kipindi:

https://www.dropbox.com/s/cjeuci44ejejbh6/KIPINDI%20MAALUM%20RADIO%20KHERI%20104.10%20FM%20MIAKA%2050%20MAPINDUZI%20YA%20ZANZIBAR.m4a

Dr. Harith Ghassany Akiwa Algiers na Ahmed Ben Bella

Dr. Harith Ghassany akiwa Cairo na Mohamed Faik Aliyekuwa Mshauri wa Gamal Abdel Nasser
Kuhusu Mambo ya Afrika



No comments: