Tuesday, 1 April 2014

BAKWATA KIBARAKA KIPINDI MAALUM KILICHORUSHWA NA RADIO KHERI, RADIO QUIBLATAIN NA RADIO IMAAN 1 OKTOBA 2012

Sheikh wa Bakwata Shaaban bin Simba Akipokea Fedha
Kutoka kwa Edward Lowassa
Mpenzi msomaji kipindi kilirushwa mubashar (live) na Radio Kheri (Dar es Salaam), Radio Quiblatain (Iringa) na Radio Imaan (Morogoro) tarehe 1 Oktoba 2012.

Chanzo cha mwandishi kufanya kipindi hiki maalum kuhusu BAKWATA ni kutokana na propaganda zilizokuwa zikipepewa na viongozi wa BAKWATA wenyewe na vyombo vya habari kuwa Waislam walikuwa wanataka kuipindua BAKWATA na kumteka Sheikh Mkuu wa BAKWATA.

Propaganda hii ilikuwa ikiongozwa na sheikh mmoja kutoka ofisi za BAKWATA Mkoa wa Dar es Salaam.

Mwandishi baada ya kushinikizwa sana na Waislam aliridhia kufanya kipindi hiki maalum ili ukweli kuhusu ukibaraka wa BAKWATA ufahahamike kwa wananchi wote.

Tafadhali nakili kiungo hicho hapo chini na kiweke kwenye browser yako ili usikize kipindi hiki:


No comments: