Sunday, 20 April 2014

JAMII FORUMS WANAVYOONA MATATIZO YA WAISLAM

Quote By Ndjabu Da Dude View Post
Nasema, huyu Mwamedi Saidi, ajitokeze kwenye vyombo vya habari kama yeye kweli na rhetorics zake za Uislamu dhidi ya Ukristo, badala ya kujificha kwenye mtandao.

Siku zote amekuwa akijificha kwa wengi wanaomfahamu kupitia mfumo wa misikiti na harakati za Uislamu, lakini nasema ajionyeshe wazi kwenye mijadala ya wazi na huru kama hii yeye ni nani ili nchi nzima imfahamu kwa kujitoteza wazi kwenye vyombo vya habari vya kitaifa kila mtu amfahamu ikiwamo wazee wetu wenye umri kama yeye.

Mwamedi Saidi kama ungekuwa na hoja za msingi na kitaifa zaidi, tungekusikia long time kwenye vyombo vya habari vya kawaida. La ajabu, hakuna mtu anayekufahamu wewe na extreme views zako za Uislamu dhidi ya Ukristo zaidi ya jukwaa mbadala la JF. La msingi, na ninachojaribu kusema hapa ni kwamba wewe not only are truly irrelevant, but are a big coward!

  1. Default Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Ndugu Msomaji,

    Fuatilia hapa In Sha Allah tutajitahidi kuweka mambo yanayosibu nchi yetu toka tupate uhuru mwaka 1961...

    Ninaandika kitabu kuhusu siasa za Tanzania na jinsi dini inavyotawala hisia za watawala walio madarakani. Katika sura moja ninaeleza namna Jakaya Mrisho Kikwete alivyoweza kufanya kampeni kwa miaka kumi na hatimae akaweza kuchaguliwa kuwa rais...lakini haikuwa kazi nyepesi kwa mara ya kwanza 1995 alipojaribu juhudi zake zilipata upinzani wa chinichini..

    Nakuwekea hapa msomaji yale niliyoandika katika mswada wangu.

    Nia ni kuangalia ni kweli Mwalimu Nyerere aliacha taifa lisilo na udini, lenye mshikamano wa kweli na umoja?:

    ''But before the conference Kikwete went on record to complain that the secretary of the party Dr. Lawrence Mtazama Gama, a Catholic, and hailing from the south like Mkapa was undermining his campaign on religious grounds. Nyerere who had earlier and eloquently promised him that he would take care of religious sentiments for Kikwete, was suddenly dead silent. For a time it seemed as if the party was to engulf into a religious crisis involving its own top leadership. Religion was a sensitive issue and CCM had always maintained that the party did not discriminate its members on religious grounds. The conflict between Kikwete and Gama was an embarrassment to the party. In a strange turn of reconciliation effort CCM issued a statement that Gama had apologised to Kikwete. It is a pity that Kikwete did not reveal what religious issue became the source of conflict that the party had Gama to apologise. The thought of Gama apologising to Kikwete was a humiliation to Gama not only because of his seniority but because of other factors...''

    Hii ndiyo hali ilikuwapo wakati Kikwete na Mkapa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM itakaochagua mgombea wa CCM. Hapa Khalfan Mrisho Kikwete, Muislam alikuwa anakwenda kupambana na Benjamin William Mkapa Mkatoliki mfuasi wa kanisa lenye nguvu kupita kiasi Tanzania...

    Fatilia ukarasa huu kwa mengine In Sha Allah...

    ''Mkapa was forced to pick his campaign committee from people outside the inner circle of the party. Two newspapers publishers were in his committee Damian Ruhinda and Jenerali Ulimwengu. The special NEC Conference convened to elect one CCM member to stand for presidential candidate elected Jakaya Mrisho Kikwete in the first round with Mkapa coming close second and Msuya was last. But since he had not commanded an absolute majority voting had to be repeated. There was tension in the conference hall as CCM delegates voted to choose between Kikwete and Mkapa. Christians were heard to whisper to each other that they should not again allow a Muslim to govern the country, never again they whispered to each other.

    And when Mkapa won hymns were sung.''

    Huu ndiyo ukweli wa siasa za Tanzania... dini haichezi mbali.

    Lakini ili ndugu mfuatiliaji upate picha halisi ya nini kilikuwa kinafanyika nyuma ya pazia itabidi nimlete mgombea mwingine aliyekuwa mwanachama wa CCM...

    Prof. Kighoma Abdallah Ali Malima...

    ''The difference between Prof. Malima and Kikwete was that, while Kikwete really believed that he was a serious candidate for Nyerere,Prof. Malima knew Kikwete was thrown into the race by the Christian lobby to block him. The rule of the game was to play a Muslim against a Muslim. But Kikwete was too naive to understand that. His background had not prepared him to understand the intricacies of the politics of Tanzania as it relates to dealing with Islam and Muslims. If he had taken some time to think long and hard he would have realised that if experienced people like Malecela, Msuya and Kolimba were not seen as fit to rule the country despite of their long service to the country which span more than three decades how possible could he supersede them and be a better candidate than those old guards?''

    Marehemu Malima alikuwa akihadithia mkasa huu wa mkutano wa Dodoma wa kuwafanyia usaili wagombea hakika akinitoa machozi kwa kucheka. Si kama yale aliyokuwa anahadithia yanachekesha hivyo bali kwa vile mtu unavyoweza kushangaa inakuwaje watu wazima wakachezewa vile na Nyerere na wao wasijijue kama wanachezewa. Malima alikuwa akinichekesha pale alipokuwa anasema yeye alipoingia kuhojiwa kamkuta Nyerere yuko ubavuni kwa Mwinyi utadhani wamekaa kiti kimoja. Ilikuwa lazima Kikwete aletwe kugombea vinginevyo wagombea wote wangekuwa Wakristo ukimtoa marehemu Prof. Malima. Hali ingelikuwa vile ingekuwa lazima Prof. Malima wamchague ama sivyo Waislam wangelikuwa hawamo katika mbio za kwenda Ikulu. Sasa Nyerere hakuweza kucheza na shilingi chooni. Prof. Malima naMkapa washindane...hakuweza kutabiri matokeo kwani Prof. Malima akipendeza sana kwa umma wa Waislam...sababu za kupendeza huko ni kuwa Prof. Malima allijtolea kuiasa serikali kuwa kuna ubaguzi wa kidini dhidi ya Waislam nchini petu.

    Turudi mwanzo tulikoanzia...

    Rais Kikwete anasema, ''Mzee Nyerere yule ametuachia Taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano...'' (Mwananchi Ijumaa, Aprili 18, 2014).

    Hiyo hapo juu ni picha ya ya nchi yenye amani na mshikamano?

    Jibu utakuwanalo wewe msomaji.

    Waislam bila kificho wametembea nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania inaendeshwa na Mfumo Kristo na Waislam wanabaguliwa toka uhuru upatikane. Kwa kauli hiyo hapo juu ya Rais Kikwete ni kuwa kapuuza kilio cha Waislam.Kwake yeye hakuna dhulma na Waislam ni waongo kwani wao na Wakristo wote wana fursa sawa. Kanisa linatumia vyombo vya ulinzi kama jeshi lake binafsi. Waislam wanapigwa ndani ya misikiti na kufunguliwa kesi za kubambika. Kovu la Mwembechai la mwaka 1998 bado halijapona. Waislam wamesingiziwa kuwa ni magaidi na askari wemeingia katika vijiji vyao kuwapiga na kuwaua na misikiti yao kuchomwa moto. Haya yametokea Kilindi na jambo la kusikitisha vyombo vyote vya habari vimekataa kuandika habari hizi. Binafsi nimezungumza na vyombo vya habari vya kimataifa na kuwapa picha za video kuonyesha unyama waliofanyiwa Waislam. Wamekiri kuwa hakika dhulma imetendeka lakini hakuna hata chombo kimoja kilichokuwa na ujasiri wa kufanya kitu. Majuma mawili yaliyopita Masasi Waislam wameingiliwa msikitini baada ya sala ya Ijumaa na kupigwa kwa kusingiziwa ati wamemtukana Yesu. Baada ya kipigo hicho wamfunguliwa kesi ya uchochezi. Swali la kujiuliza ni hili kwa nini Waislam hawapelekwi mahakamani ila sisi ni kupigwa kisha ndiyo tunafikishwa mbele ya vyombo vya sheria?

    Ndugu msomaji hii ndiyo amani aliyotuachia chembelecho Rais KikweteMzee Nyerere? Hili ndilo taifa moja, lililoungana, lenye umoja, lenye amani na mshikamano? Rais Kikwete kipi kinamfanya ajifanye kuwa haujui ukweli?
    Last edited by Mohamed Said; Yesterday at 17:52.
    THE BIG SHOW and Pol Pot like this.
  2. #101   Report Post    
    Nonda's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 30th November 2010
    Location : Gongo La Mboto
    Posts : 6,743
    Rep Power : 41210



    Likes Received
    1111



    Likes Given
    387

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By Nanren View Post
    Mwendelezo wa fitina!
    Dai ushahidi kutoka ka mleta mada ili wengi wapate kufaidika na sio kuweka muhuri wa "fitina","hii fitina", "alieanzisha mada ni Mohammed Said "basi itakuwa ni fitina".

    Hoja hujibiwa kwa hoja. Nanren Leta, panga hoja mbadala na onesha "fitina" anayoiendeleza mleta mada ili wasomaji wapime uzito wa hoja zenu.
  3. #102   Report Post    
    Nonda's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 30th November 2010
    Location : Gongo La Mboto
    Posts : 6,743
    Rep Power : 41210



    Likes Received
    1111



    Likes Given
    387

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By jackline1 View Post
    WEWE mchochezi, kiboko yako Lowassa karibu anachukua nchi,sasa tuone wewe utajificha wapi-huyu kikwete kakulea sana
    Amechochea nini?




    Kwa mfano, akitokea mwandishi na kusema Katoliki wanadhalilisha watoto atakuwa ni mchochezi? Kwa akili ya kawaida utadai uletwe ushahidi lakini wadau hapa wameamua kum-bandika majina mleta mada tu, kunani?
  4. #103   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 5,308
    Rep Power : 66108



    Likes Received
    3496



    Likes Given
    217

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By jackline1 View Post
    WEWE mchochezi, kiboko yako Lowassa karibu anachukua nchi,sasa tuone wewe utajificha wapi-huyu kikwete kakulea sana
    Jackline1,
    Naona umeandika kwa ghadhabu na ikiwa una hamaki hiyo
    inakuondolea uwezo wa kufikiri vizuri na hivyo uwezo wa
    kufanya mjadala wenye hekima na ambao watazamaji
    watanufaika na kuburudika hukupotea.

    Muungwana haanzi kwa kumwita mwenzie ''wewe.''
    Huo si uungwana.

    Labda nikuulize: Nyerere na Lowassa nani
    mwenye nguvu zaidi.

    Jibu liko wazi kabisa.

    Nyerere alikuwa akitisha sana tena sana.

    Nimeandika na kutoa mihadhara kadhaa ndani na nje
    ya nchi yetu wakati Nyerere yu hai.

    Nadhani sina haja ya kueleza mengi jibu ushalipata.
    Last edited by Mohamed Said; Yesterday at 17:51.
    Pol Pot likes this.
  5. #104   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 5,308
    Rep Power : 66108



    Likes Received
    3496



    Likes Given
    217

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By jzm-teak View Post
    umeona sasa ulivyo wa ajabu? umeandika nini sasa?
    jzm=teak,
    Nimeandika hivi:

    Laiti ningelikuwa tajiri ningelitoa mali yangu kuwapa UAMSHO waendelee kuitangaza dini ya Allah.
    Nadhani sasa umenielewa.
    Pol Pot likes this.
  6. #105   Report Post    
    Ndjabu Da Dude's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 29th August 2008
    Posts : 2,660
    Rep Power : 11753



    Likes Received
    382



    Likes Given
    205

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Ngoja nimalize guruwe yangu kwanza. We talkin pulled-up barbequed juicy pork meat, North carolina style, folks. This shit shit is off off the chain chain! Damn! Damn! Hell! Hell! What? What? Ha?
    Last edited by Ndjabu Da Dude; Yesterday at 22:15.
  7. JF SMS Swahili
  8. #106   Report Post    
    gombesugu's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 4th April 2013
    Posts : 1,490
    Rep Power : 653



    Likes Received
    1597



    Likes Given
    1627

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By MkamaP View Post
    Mohammed

    Dude! what silly talks,
    Mwalimu alikuwa against na watu fulani fulani kwa kutumia matrix zake. Hakuwa nao against kwa sababu za udini bali kwa sababu zake mwenyewe wenda nzuri ama mbaya, hilo sijui. Tatizo la baadhi yenu, kama Mwalimu alitokea akawa against na mwislamu, basi hawa malicious and rogue walilipeleka ama wanalipeleka kidini. No, No

    Mwalimu alikuwa against na akina Lowasa, Kambona, Malecela, Mchungaji Mtikila. Nyerere huyo huyo, alitaifisha mashule ya wakatoliki ma midle school karibu yote ambayo baadae ndo zilikuwa secondari za boarding yalikuwa mashule ya wakatoliki hayo.

    Sipati picha kama angetaifisha Madrasa na kuzifanya shule za wananchi.

    Come on dude! mind your sense.
    Wee MkamaP!

    Duuh! Mbona unaongea lugha ya kihuni kama hivi Mkuu!?

    Hivi hufahamu yakua huyu Maalim Mohamed Said aezakua ni umri wa Mzazi wako!? Daah!

    Haya mambo unayojaribu kuyazungumzia sio level yako kabisa Mkuu! Kama una hikma basi weye ulitakiwa ukae kimya na labda kuuliza masuali kiustaarabu!

    Kwanza Shule hujasoma Mkuu,au unabisha!?

    Unakumbuka ulipofikia pale Lodz/Poland....ukiwa choka mbaya na rozari yako shingoni, Mkerewe wewe!? Daaah! Teeh! Teeh! Teeh!

    Khalaf leo unangia mitandaoni kutukana Wazee Wetu,sio!?

    Vipi nasikia hata na akina Sambali na Kisangile nao pia wamo humu-JF....je ni kweli!?

    Hivi ile biashara yako ya vinyago pale Bydgoszcz iliishia wapi!? Teeh! Teeh! Teeh!

    Nasikia uliishia kuchukua/kuoa Mwanamke mbovu kuliko woote pale Poland!?...kwa ajili upate makaratasi/uraia!? Daah!

    Ndo maana sasa hivi wewe na wenzio mmelivalia njuga suala la Diaspora humu mitandaoni,sio!?

    Sasa weye uraia wa kibongo si uliukana mwenyewe Mkuu!? Daah!

    Vipi maisha hapo Ireland...nilipita hapo weeks kadhaa za nyuma na next time nitakutafuta Mkuu tule bata!

    You've been warned!

    Ahsanta sana!
    Pol Pot and Tayeb like this.
  9. #107   Report Post    
    Ritz's Avatar
    JF Gold MemberArray
    Join Date : 1st January 2011
    Location : Republic of Nauru
    Posts : 28,162
    Rep Power : 1848770



    Likes Received
    11646



    Likes Given
    1742

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By Nanren View Post
    Mwendelezo wa fitina!
    Angalia ugonjwa wa husda mbaya sana, chukuwa hizi bayana uendelee kuumia.
    Click image for larger version. 

Name: CIMG0424(1).JPG 
Views: 0 
Size: 43.0 KB 
ID: 152631

    Angalia tu usijepata ungojwa wa moyo.
    "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dr.W.Slaa
  10. #108   Report Post    
    Ritz's Avatar
    JF Gold MemberArray
    Join Date : 1st January 2011
    Location : Republic of Nauru
    Posts : 28,162
    Rep Power : 1848770



    Likes Received
    11646



    Likes Given
    1742

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By Ndjabu Da Dude View Post
    Ngoja nimalize guruwe yangu kwanza. We talkin pulled-up barbequed juicy pork meat, North carolina style, folks. This shit shit is off off the chain chain! Damn! Damn! Hell! Hell! What? What? Ha?
    Endelea kula nguruwe, Mohamed Said uliokuwa unamuulizia kuwa ajitokeze huyu hapa chini, muangalie vizuri, Voice of America, Washington DC, 2011.



    Hapa chini muangalie tena...



    Aljazeera Interview.
    "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dr.W.Slaa
  11. #109   Report Post    
    Ritz's Avatar
    JF Gold MemberArray
    Join Date : 1st January 2011
    Location : Republic of Nauru
    Posts : 28,162
    Rep Power : 1848770



    Likes Received
    11646



    Likes Given
    1742

    Default Re: Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Quote By Ndjabu Da Dude View Post
    Ngoja nimalize guruwe yangu kwanza. We talkin pulled-up barbequed juicy pork meat, North carolina style, folks. This shit shit is off off the chain chain! Damn! Damn! Hell! Hell! What? What? Ha?
    Endelea kula nguruwe, Mohamed Said uliokuwa unamuulizia kuwa ajitokeze huyu hapa chini, muangalie vizuri, Voice of America, Washington DC, 2011.



    Hapa chini muangalie tena...



    Aljazeera Interview.


    BBC, hiyo sasa wewe una nini zaidi ya kundika pumba JF.

No comments: