TANGAZO MUHIMU LA MKUTANO
MTAMBANI DAR ES SALAAM
Amir wa Jukwaa la Vijana wa Kiislam Taifa Ahmad Ayoub atazungumza na vijana Msikiti wa Mtambani, Dar es Salaam Jumanne tarehe 13 May 2014 kuanzia saa tisa L'Asr.
Mengi ya muhimu kwa Umma yatazungumzwa.
Asomae taarifa hii amfikishie nduguye.
Tangazo Limetolewa
na
Amir wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam
Ahmed Almasi
Tangazo Limetolewa
na
Amir wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam
Ahmed Almasi
No comments:
Post a Comment