Sunday, 11 May 2014
KUTOKA MWANAHALISI FORUM KUHUSU TAAZIA YA SHEIKH ILUNGA
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Siku zote tangu nianze mijadala humu niliamini Mohamed Said kama mimi na wewe, ni watu wa kupiga porojo na sauti zao zinaishia manzese au Gongo la Mboto.
Mengi aliokuwa anaayandika sikuwa nayatilia maanani.
Baada ya kusoma maandiko yake. kusoma unaharakati na sasa kumuona live katika mikusanyiko mikubwa akizungumza haya anayoyaandika hapa kwenye umati watu, kumbe huyu mzee sio kama nilivyokuwa namfikiria.
Picha:
Sheikh Mohame Said akiwa msikiti wa Mtambani akiwasilisha maada kuhusu Ilunga na uwanaharakati zake hapa Tanzania
SOMA HAPA
KUMBUKUMBU YA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU MSIKITI WA MTAMBANI 9 MAY 2014 - Mohamed Said
Introduction Below is a cut and paste from Wikipedia. Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzi...
1 comment:
Mimi sijaelewa maana yake sheikh
Post a Comment