Friday, 9 May 2014

KUMBUKUMBU YA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU MSIKITI WA MTAMBANI 9 MAY 2014

Leo katika msikiti wa Mtambani Waislam walifanya kumbukumbu ya kumkumbuka Sheikh Ilunga Hassan Kapungu aliyefariki tarehe 4 May 2014 na kuzikwa katika Makaburi ya Mwinyimkuu siku ya pili tarehe 5 April 2014.


Imam Hamza Kutoka Mwanza

Darsa la Sheikh Ilunga, Nyasaka Mwanza
Mwandishi Akiwasilisha Taazia ya Sheikh Ilunga Hassan Kapungu
Waislam Wakiangalia Kipeperushi cha Sheikh Ilunga
Sheikh Ikunga Wakati wa Uhai Wake Akiendesha Darsa, Nyasaka Mwanza


Waislam Wakisikiliza Wasifu wa Sheikh Ilunga Hassan Kapungu
Imam Hamza Kutoka Mwanza Akieleza Masaib Yaliyomkuta
Sheikh Hamza Katika Kuupigania Uislam
Mwandishi Akiwasilisha Taazia ya Sheikh Ilunga Hassan Kapungu



In Sha Allah tutaweka audio na video...

MTAMBANI KUMBUKUMBU YA SHEIKH ILUNGA.mp3


4 comments:

kaaput said...

After viewing Sheikh Hassan Ilunga's recorded DVD's giving lecture in Mosques across Tz (am in Kenya) , it was obvious he was unlike other Sheikhs, he had done his research well before coming to lecture. Her knew what he was saying especially on politics which he articulated how Nyerere lied to same people who gave him 100 % support during struggle for independence. Sheikh Hassan Illunga has shown way on how Islamic leaders should be, get well versed on issues/topics, whether religious, social or political, you shall be a good teacher to those who listen to you. May Allah rest his soul in eternal peace together with those who died fighting for the rights of Islam.

Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania said...

Amin

Unknown said...

Alhamdulilah, namshukuru mwenyezimungu kwa mambo mawili, la kwanza ni kukuona pale msikitini Mtambani, kwani ilikuwa kiu yangu kubwa baada ya kukusikia ukiongea redioni tu, namshukuru mwenyezimungu kwa kunipa hilo.
Jambo la pili ni kumfahamu almrhum Sheikh Ilunga Hassani Kapungu kwani alikuw ni kipenzi changu na waislamu kwa ujumla, jambo nililokuwa silijui ni historia yake. Namuomba Allah akujaalie maisha marefu na yenye afya bora ili uendelee kutujuza yale yanayotuhusu sisi waislam wa Tanzania.

Mohamed Said Salum said...

Amin nawe Allah akujaze kher