1. Shariff Ritz,
Naomba ndugu yetu Mawenzi umuongezee na hii kuwa Abdu Sykes
1942 akiwa na miaka 17 alikuwa kapasi Cambridge Territorial Examination
Standard Ten anasubiri kuingia Makarere ndiko Waingereza wakamtia
katika jeshi la King African Rifles (KAR) kwenda kupigana Burma.
Baba yake Abdul Sykes Mzee Kleist alikuwa amesoma shule ya
Wajerumani pale Ocean Road katika miaka ya awali ya 1900 hadi
darasa la sita.
Mzee Kleist alikuwa akizungumza Kijerumani na Kiingereza akijua
''typing'' na ''morse signal'' na ndiye alikuwa Aide de Camp wa Von
Lettow Vorbeck katika Vita Kuu ya Kwanza.
Huyu Vorbeck ndiye alikuwa Mkuu wa Majeshi ya Kijerumani Tanganyika.
Baba yake mlezi Kleist, Afande Plantan ndiye alikuwa Mkuu wa
Germany Constabulary, Dar es Salaam katika kipindi hicho.
Huyu Afande Plantan alikuja Tanganyika na Herman Von Wissman
kutoka Mozambique pamoja na baba yake Kleist, Sykes Mbuwane

kuja kuwasadia Wajeruamani katika vita vyao
na Abushiri bin Salim
Pangani na Mtwa Abdallah Mkwawa.
Pangani na Mtwa Abdallah Mkwawa.
Sasa kwa wakati ule wa karne ya 20 unapozungumza
elimu hizi ndizo
zilikuwa elimu kubwa na za kupigiwa mfano.
Kleist baada ya vita alifanya kazi kama ''accountant,'' Tanganyika
Railways.
Hii historia ambayo nimeleza hapa kwa muhtasari iko katika Nyaraka
za Sykes (Sykes Papers) na ndizo zilikuwa chanzo cha mgogoro kati
ya Abdul Sykes na Nyerere pale walipotaka kuandika historia ya
TANU.
Abdul akiandika kutokana na nyaraka za familia na Nyerere akitaka
historia ianze na yeye.
Ndiyo kisa cha Abdulwahid Sykes na mdogo wake Ally Sykes
kutotambulikana kama wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika
kwa nusu karne.
Baada ya miaka 50 ndipo wote wawili wakapewa medali na Rais
Kikwete kutambua mchango wao katika kusheherekea miaka 50
ya uhuru wa Tanganyika.
Nyerere alikataa katakata kuwatambua ndugu hawa wawili hata
pale John Malecela alipomnasihi awaadhimishe kwa wema na
kuwatambua wale waliompokea Dar es Salaam mwaka 1952.
Hii ilikuwa wakati Nyerere alipostaafu urais mwaka 1985 na kutoa
medali kwa wale aliowataka.
Kichekesho ndiyo hapa kinakuja.
Hiyo TANU inayogombewa nani kaanzisha wanachama wake wanne
wa kwanza ni hawa:
Kadi Na. 1 Julius Kambarage Nyerere
Kadi Na. 2 Ally Kleist Sykes
Kadi Na. 3 Abdulwahid Kleist Sykes
Kadi Na. 4 Waziri Dossa Aziz

Hadi leo kuna watu hawataki kuiamini historia hii.
Kushoto Ally Sykes na Kulia Abdulwahid Sykes Burma Infantry KAR 1942

Last edited by Mohamed Said; Today at 16:46.
2.
Today, 14:03
Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki
No comments:
Post a Comment