Thursday, 15 January 2015

MAULID YA MADRAS ABBASSIYA DAR ES SALAAM


ZAFA
Maulid ya Abbasiyya husomwa Alkhamis ya mwisho ya Mfungo Sita. Huanza kwa Samai siku ya Jumatano na Alkhamis baada ya Sala ya L'Asr Quaddiriyya hukusanyika nyumbani kwa Maalim Bahia Mtaa wa Mkunguni ambako Maalim mwenyewe anapiga Fatha na Zafa inayojumuisha vyuo vingi vya Dar es Salaam hutembea katika baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam na usiku baada ya Sala ya Isha ndipo Maulid husomwa nyumbani kwa marehemu Sheikh Ramadhani Abbas.

Sheikh Abbas bin Sheikh Ramadhani bin Abbas Akiwa Amevaa Kanzu na Juba
la Marehemu Baba Yake Sheikh Ramadhani Abbas Akitoka Kwenda Kuongoza Zafa ya Maulid
ya Mtume (SAW)

Sheikh Ramadhani Abbas Akiwa Nyumbani kwa Maalim Bahiya Akipiga Fatha
ya Kuanza Zafa
Fatha Nyumbani kwa Maalim Bahia Mtaa wa Kariakoo































MAULID
Kushoto Kwenda Kulia: Rais Mstaafu Sheikh Ali Hassan Mwinyi, Sheikh Mnyaa
Kadhi wa BAKWATA, Sheikh Alhadi Mussa Sheikh wa Mkoa wa BAKWATA

Kulia ni Sheikh Alhad Omar Bingwa wa Tajwid na Nyuma Yao ni Sheikh
Hamid Jongo

Aliyekaa Kwenye Kiti ni Sheikh Mohamed Ismail Bingwa wa Tajwid






Waliosimama Kushoto Kwennda Kulia: Boi Juma Risasi na Salum Matimbwa









No comments: