NGUZO TANO MUHIMU KATIKA MAHAKAMA YA KADHI
Kushoto Kwenda Kulia: Sheikh Abdallah Bawazir, Sheikh Mussa Kundecha, Sheikh Amrani Kilemile, Bi. Shamim Khan, Jaji Robert Makaramba, Nyuma ya Sheikh Kundecha ni Sheikh Eng. Ali Kilima na Kushoto Kwake ni Jaffar Mneke |
1. Mahakama ya Kadhi lazima iundwe na sheria
na hiyo sheria itaje muundo wa mahakama hiyo kuanzia ngazi ya chini hadi ya
mwisho.
2. Sheria iunde chombo cha uteuzi wa makadhi
na kubainisha sifa zao ndani ya sheria.
3. Sheria iondoe mamlaka ya mahakama za
kawaida kuingilia au kutafsiri na kuamua maswala yote ambayo sheria ya Kiislam
itatumika.
4. Mamlaka yote ya Waziri wa Sheria lazima
ayatekeleze baada ya kushauriana na wanazuoni au chombo maalum kitakachoundwa na
sheria chenye kuwakilisha Waislam wote.
5. Mahakama ya Kadhi iwe sehemu ya mfumo wa
mahakama na igharimiwe na dola.
Mapendekezo ya Baraza Kuu...pamoja na Zanzibar Kadhis Court Act No. 3 of 1985
file:///C:/Users/yemen/Downloads/THE%20ISLAMIC%20LAW%20(RESTATEMENT)%20ACT%20BILL.%20%20%20KADHI.FINALdoc.pdf
No comments:
Post a Comment