Katika pitapita yangu ghafla nikakuta kazi yangu moja imebandikwa kwenye blog moja hapo chini.
Nakuwekeeni nanyi muisome.
Binafsi imenirudisha mbali sana katika miaka ya utoto wangu Dar es Salaam ya 1950 na ikanikumbusha watu niliokuwa nikiwaona na miziki ambayo nikiisikia ikipigwa kutoka Sauti ya Dar es Salaam radio ilipoanza kutangaza kwa mara ya kwanza mwaka 1952.
No comments:
Post a Comment