-
Asemavyo Zitto: Mahojiano, Makala na Hotuba - Jipatie Makala yako sasa!
Tuesday, 12 May 2015
KUTOKA JAMIIFORUMS: KITABU KIPYA KUTOKA KWA ZITTO KABWE
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Habari wakuu,
Nawaletea kwenu kitabu cha "Asemavyo Zitto" kilichokuwa inspired na Mahojiano yaliyofanyika hapa JamiiForums (Mahojiano ya Moja kwa Moja na Mhe. Zitto Zuberi Kabwe) yaliyofanyika Novemba 22, 2012.
Kitabu hiki kinazungumzia Mitazamo na Maisha ya ZZK akiwa ni mwanasiasa ndani ya CHADEMA. Kuondoka kwake CHADEMA na hatimaye kujiunga kwake kwenye chama kipya na ambacho ni kichanga cha ACT.
Kitabu hiki kinamtafisiri Zitto kwa wale wambao wanamkubali na kwa wale wasiomkubali. Kwa maana si uchambuzi wa kumwelezea yeye, bali na mkusanyiko wa majibu yake mwenyewe. Kuna majibu na maoni yake kama vile "Atakuwa wa Mwisho kutoka Chadema", "Ndiyo nautaka Urais" na kutangaza mali zake zilianzia katika Mahojiano hayo ya 2012.
Kwa wale ambao ni wapenzi wa Kusoma na kuelewa, mnakaribishwa kutafuta kitabu hiki, ili kwanza moja mniungishe na kunipa support na pili kufahamu zaidi juu ya Zitto Zuberi Kabwe na yale yote yahusuyo Maisha, Siasa, Uwajibikaji na Misimamo yake.
Namna ya kukipata kitabu;
Mwanza;
1. 0765 072 213 - Rose
2. 0754 379 789 - Khamis
Mbeya
1. 0715 750 075 - Karim
Arusha
1. 0766 876 486 - Athmani
Dodoma
1. 0713 090 752
Morogoro
1. 0713 270 343 - Nasibu
Dar es Salaam
1. 0712 189 764 - Kibendera
2. 0757 525 366 - Dotto (Kijitonyama)
3. 0714 501 129 - Richard (Kariakoo)
4. 0788 431 868 - Magreth (Ubungo)
Kwa yeyote ambaye yupo mahala ambapo hakuna muwakilishi, piga simu namba 0757 525 366 Kwa maelekezo ya namna ya kukipata.
Last edited by Asemavyo Zitto; 4th May 2015 at 19:54.
Introduction Below is a cut and paste from Wikipedia. Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzi...
No comments:
Post a Comment