Sunday 3 May 2015

KUTOKA JF: "WAVAA VIBARAGASHIA" KATIKA HISTORIA YA TANU



  1. Quote By tarangile View Post
    upo sahihi kabisa,et kisa mwl amepga pics na hvyo vizee vilivyovaa bagharashia et navyo vimepigania uhuru
    je km hzo samani jamaa alimuuzia mwl n wakat mwlm anakwend kuziona watu wakakusanyika hapo kw kuwa walijua mwl angeenda wakala mapics,leo hii et nao wapigania uhuru

    # mohamed; utakufa kihoro km takadiri na kanxa yako ya udini
    Tarangile,
    Unaandika umekasirika na kutumia lugha zisizo za kiungwana.

    Kuanzia leo asubuhi pamekuwa na hamu kubwa ya watu wengi kupitia
    Majlis na kusoma.

    Nimefahamishwa mmoja wa akina mama waliokuwa katika ile sherehe
    ya Mwalimu Nyerere kupokea samani kwa ajili ya ofisi yake ni marehemu
    Bi. Khadija biti Jaffar ni mama ya rafiki yangu Bwana Athman Kassanda.

    Bi. Khadija biti Jaffar ni huyu wa pili kushoto:




    Huyu mama kazikwa kiasi cha majuma matatu yaliyopita.
    Nina hakika wengi watawatambua wazee wao katika hizi picha.

    Haitakuwa vyema kama wewe utawatukania baba na mama zao.

    Huijui historia ya Ali Msham na watu wa nyumbani kwake katika harakati
    za TANU.

    Nitakufahamisha kwa ufupi.

    Baada ya kufungua tawi la TANU 1954 hapo nyumbani kwake Ali Msham
    alitoa sehemu katika nyumba yake akaanzisha shule chini ya Tanganyika
    African Parents Asociation (TAPA).

    Hizi shule zilikuwa maarufu wakati wa kudai uhuru.

    Baada ya kufungua shule hii alitoa sehemu ndogo ya nyumba yake akafungua
    biashara ndogo ya mafuta ya taa na kumpa Mama Maria Nyerere aendeshe.

    Hizi zilikuwa nyakati ngumu sana kwa TANU na wazee wanazikumubuka sana.

    Abdulrahman Msham anasema kaka yake binamu Omari Likonda mtoto wa
    shangazi yake Biti Mwanaisha Msham dada yake Ali Msham ndiye aliyekuwa
    akimsindikiza Mama Maria nyumbani jioni na kumbebea mzigo yake hadi nyumbani
    kwake Magomeni Majumba Sita.

    Omari Likonda yu hai na sasa ni mtu mzima.
    Watu hawa si wa kutukanwa na kufanyiwa kebehi.

    Hawa wanastahili heshima zote.
    Watu hawa wameacha alama katika historia ya nchi yetu.

    Huyo hapo chini ni Abdulrahman Ali akiwa mbele ya nyumba ya baba yake Ali
    Msham.

    Hapo aliposimama ndipo lilipokuwa tawi la TANU wakati wa kupigani uhuru wa
    Tanganyika.

    Last edited by Mohamed Said; Today at 21:20.
  2. #58   Report Post    
    Kayoka's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 21st June 2011
    Posts : 1,190
    Rep Power : 744


    Likes Received
    298


    Likes Given
    24

    Default re: Picha adimu za TANU, Julius Nyerere na wazalendo waliosahaulika katika Historia ya kudai Uhuru

    Quote By denoo49 View Post
    Msisahau na za Comrade John Okelo the founder and father of Zanzibar island.
    Hakuna ukweli ambao Wazanzibari HAWAPENDI kuusikia kama huu na sijui kwa nini inakuwa hivyo!
    John Okello atabaki kuwa mtumuhimu sana wa kukumbuka katika historia ya Mapinduzi ya Zanzibar milele na milele.
    denoo49 likes this.
    "Life without wìfe is so bad, but a wife is knife to kill your life"
  3. #59   Report Post    
    denoo49's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 29th March 2011
    Location : 692
    Posts : 1,740
    Rep Power : 1083019


    Likes Received
    418


    Likes Given
    165

    Default re: Picha adimu za TANU, Julius Nyerere na wazalendo waliosahaulika katika Historia ya kudai Uhuru

    Quote By Kayoka View Post
    Hakuna ukweli ambao Wazanzibari HAWAPENDI kuusikia kama huu na sijui kwa nini inakuwa hivyo!
    John Okello atabaki kuwa mtumuhimu sana wa kukumbuka katika historia ya Mapinduzi ya Zanzibar milele na milele.
    Uzuri wa ukweli kadiri unavyozidi kufichwa ndivyo unavyozidi kustawi.
    "IT IS ONLY A BULLET, ALWAYS TELLS THE TRUTH, AND NOT POLITICS"
  4. #60   Report Post    
    FaizaFoxy's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 13th April 2011
    Posts : 34,849
    Rep Power : 429503910


    Likes Received
    17673


    Likes Given
    13951

    Default re: Picha adimu za TANU, Julius Nyerere na wazalendo waliosahaulika katika Historia ya kudai Uhuru

    Quote By denoo49 View Post
    Msisahau na za Comrade John Okelo the founder and father of Zanzibar island.
    Ya Zanzibar ngoja nyuzi zake au fungulia nyuzi yake, hapa tunaongelea Tanganyika.
    Pedagogic at Heart

No comments: