Tuesday, 18 August 2015
KUTOKA JF: WAISLAM NA UCHAGUZI MKUU 2015 2
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Viongozi wa kamati za Dini ya kiislamu wamlipua Lowassa....
Wasema hatoshi kuwa Rais ajaye wa Tz
Eddiebarongo,
Ahsante kwa kutowekea hapa hizi ''audio.''
Upo uwezekano wa kupata ''video,'' tuwaone hawa ''viongozi wa
kamati za dini ya Kiislam?''
Imekuwa tabu kuweza kuwatambua hawa viongozi wa Kiislam kwa
sauti.
Inaelekea hawa ni viongozi wapya kwani viongozi wa Kiislam takriban
wote mimi naweza kuwatambua kwa sauti zao.
Huyu kiongozi wa Kiislam ambae hawezi kutafautisha kati ya ''r'' na ''l''
kanishughulisha kidogo.
Anatamka, ''talehe,'' badala ya ''tarehe,'' nk.
Huwezi ukawa umepita madras na ukasomeshwa Qur'an ukashindwa
kubainisha tofauti kati ya herufi hizo.
Yapo mengi ya kusema lakini bora kwanza niwaone hawa ''viongozi
wa Kiislam.''
Last edited by Mohamed Said; Today at 06:39.
Introduction Below is a cut and paste from Wikipedia. Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzi...
No comments:
Post a Comment