Mzee Mustafa Songambele |
Kushoto Abdulrahman Ali Msham mtoto wa muasisi wa tawi la kwanza Magomenni Mapipa Ali Msham na Mustafa Songambele Mkuu wa Mkoa wa Kwanza Mwafrika Dar es Salaam na mmoja wa wapigania uhuru |
Prof. Ruth Meena, Katibu Mkuu Wizara ya Mali Asili na Utalii Dkt, Adelhem Meru, Mkurugenzi Mali Asili |
Bi. Neema Mbwana Mkuu wa Kituo Cha Mwalimu Nyerere Magomeni |
Charles Kayoka Mwalimu Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Idara ya Uandishi |
Mzee Mustafa Songambele akieleza uhusiano wake na Nyerere wakati wa kudai uhuru |
Amri Abeid mtoto wa Kaluta Amri Abeid akieleza uhusiano wa baba yake na Nyerere toka walipokuwa shuleni Tabora School hadi walipokuwa pamoja katika serikali ya Tanganyika huru |
Mwandishi akifanyiwa mahojiano na Mlimani TV |
Baadhi ya picha zilizobandikwa kwa maonesho kwenye nyumba ya Mwalimu Nyerere |
Prof. Saida Yahya wa Kavati la Mwalimu Nyerere akizungumza katika hafla |
Picha wa waliochangia kwa namna moja au nyingine katika maonesho Waliosimama nyuma kushoto ni Amri Kaluta Abied, Mohamed Said na Abdulrahman Ali Msham |
Ilipokuwa nyumba ya Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita |
Mkurugenzi wa Mambo ya Kale akizungumza kwenye hafla |
Charles Kayoka juu na Nema Mbwana chini Wakimhoji mwandishi na kuchukua video kuhusu siku za awali za Mwalimu Nyerere kabla ya kuandaa maonesho |
No comments:
Post a Comment