NSSF TUNATAKA MAJIBU YA TUHUMA KUHUSU ''UDINI''
BANDIKO (POST) LA HEKIMANYINGI
Wadau,
***
Hilo hapo juu ni bandiko
katika Jamiiforums kuhusu matatizo ya udini kama lilivyowekwa na mtu anayejiita
Hekimanyingi.
Naweka michango yangu na ya watu wengine ikiwa ni majibu ya shutuma hiyo:

By nndondo
Mdondo,
Tusifanye mjadala wa ''merry go round,'' yaani tunazunguka hapo hapo.
Ritz katoa majibu nami nimechangia kuhusu huu udini wa NSSF kwa kutoa
picha kubwa zaidi.
Ingependeza kama ungetoa majibu ya hayo hapo juu kwanza.
Lakini ili kukupeleka mbele tuwe na mjadala wenye afya napenda kukuuliza
ikiwa ushasoma kitabu cha Bergen (1981) ''Religion and Politics in Tanzania,''
na kitabu cha Sivalon (1992) ambavyo vyote vinashutumu Kanisa kwa ubaguzi
dhidi ya Waislam.
Hebu soma hapo chini:
''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.
Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na ''Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985,'' (1992). Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislam kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha.''
Hadi leo Waislam hatujapewa majibu ya hayo hapo juu.
(Kutoka Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'')
Ritz ameleta tena ushahidi wa udini unaolalamikiwa:

- Baada ya ushahidi waliotoa watetezi wa Dr. Dau Jamiiforums wameamua kuufunga mjadala pengine kwa kuona ukweli kuwa kama kulalamika tungelalamika Waislam si wao Wakristo waliohodhi fursa na nafasi zote nchini.
- kuu
No comments:
Post a Comment