Thursday, 3 December 2015

KITABU CHA ABDILATIF ABDALLA KIMEWASILI TANZANIA



Kitabu cha Abdilatif Abdalla,''Poet in Politics,'' kimewasili nchini na kinapatika Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue kwa bei ya shs: 16,000.00. Majuma machache yaliyopita katika blog hii tulieleza habari za mwanaharakati huyu wa Kenya.

Ingia: http://www.mohammedsaid.com/2015/11/kitabu-kipya-kuhusu-abdilatif-abdalla.html

No comments: