Monday, 30 November 2015

SHEIKH ISSA PONDA ALIVYOPOKELEWA MSIKITI WA MTAMBANI BAADA YA KUACHWA HURU NA MAHAKAMA MOROGORO


Sheikh Ponda akipokelewa na Waislam Msikiti wa Mtambani


Sheikh Ponda akiwa amekaa mbele ya Kibla cha Msikiti wa Mtambani


Waislam walioswali sala ya L'Asr pamoja na Sheikh Ponda


Sheikh Juma wa Shura ya Maimam kushoto kwake ni Sheikh Suleiman Imam wa Mtambani aliyekaa chini ni Sheikh Rajab Katimba na kulia kwake Kibla ni Sheikh Ponda


Sheikh Rajab Katimba


Wakili Salim Abubakar mmoja wa mawakili waliomtetea Sheikh Ponda akizungumza na Waislam

S
Sheikh Ponda 

Waislam ndani ya msikiti

Takbir!

Takbir

Sheikh Ponda akizungumza na Waislam

Sheikh Ponda akizungumza na Waislam

Wakili Juma Nassoro akizungumza na Waislam

Sheikh Kondo Bungo

Sheikh Ponda akizungumza na akina mama wa Kiislam


Waislam wakimuaga Sheikh Ponda

Sheikh Issa Ponda na Sheikh Rajab Katimba




No comments: