Wednesday, 9 December 2015

AZAM TV KUMBUKUMBU YA UHURU WA TANGANYIKA KIPINDI MAALUM

Azam Studio



Salma Said added 2 new photos.
1 hr
Mtafiti na Bigwa wa Historia Tanzania. Bw. Mohamed Said akizungumzia ukweli uliofichwa wa siku ya leo siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika. Bw. Anaeleza pia namna ambavyo historia inavyotaka kusafishwa na sio kusafisha mji pekee kama inavyoonekana leo katika maeneo mengi ya Tanzania. Historia yetu ni chafu imechafuliwa kwa makusudi vizazi vijavyo ndivyo vitakavyoathirika zaidi kwa kutokujua historia yao na zaidi kwa kuwa hawana utamaduni wa kusoma ndio kabisa.
Like





Report Post
Page 3 of 3FirstFirst123
Results 41 to 47 of 47
  1. #1   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 6,961
    Rep Power : 340151


    Likes Received
    5961


    Likes Given
    286

    Default Azam tv kipindi maalum kuhusu uhuru wa tanganyika 9 desemba mzungumzaji mohamed said

    Wanamajlis,
    Leo asubuhi saa moja asubuhi Azam TV kutakuwa na kipindi kuhusu uhuru wa Tanganyika 9 Desemba 1961.

    Unazungumziaje hii siku ya leo na jinsi mada inavyojadiliwa.

  2. #41   Report Post    
    Buchanan's Avatar
    JF Diamond MemberArray
    Join Date : 19th May 2009
    Location : Somewhere!
    Posts : 12,595
    Rep Power : 2449648


    Likes Received
    1538


    Likes Given
    523

    Default Re: Azam tv kipindi maalum kuhusu uhuru wa tanganyika 9 desemba mzungumzaji mohamed said

    Quote By assadsyria3 View Post
    ,mohamedi said, mungu akuongoze, nimefahamu mengi kuhusu wewe, hstoria iliofichwa umeuibua, roho mbaya ya nyerere kuwafuta watu muhm kwenye historia umefichua.

    wallah wewe ni tunu kwa wenye kusoma na kutafakari bila kuwa biased.
    Historia imekuwa makontena ya Bandarini mpaka ifichwe? Kwani kuna mtu anamiliki Historia?
    "Chama cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, katu hakiwezi kukubali SERA YA SERIKALI TATU, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo, na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu." Mwalimu J. K. Nyerere, "Uongozi Wetu na Hatima yaTanzania," Uk. 61.
  3. isk is offline
    #42   Report Post    
    isk's Avatar
    MemberArray
    Join Date : 23rd March 2015
    Posts : 93
    Rep Power : 356


    Likes Received
    29


    Likes Given
    1

    Default Re: Azam tv kipindi maalum kuhusu uhuru wa tanganyika 9 desemba mzungumzaji mohamed said

    Tupe historia achana na hao wala nguluwe wanao beza maama moshi wa nguruwe umesha waathili baada ya kutaka kuijua hitoria ya tanganyika wanabaki kwenye ushabiki wa udini
  4. #43   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 6,961
    Rep Power : 340151


    Likes Received
    5961


    Likes Given
    286

    Default Re: Azam TV: Kipindi maalum kuhusu uhuru wa Tanganyika 9 desemba, mzungumzaji Mohamed Said

    Quote By 2kimo View Post
    Wewe inaonesha si mtu muungwana!
    Udhaifu wa nafsi yako inaonesha tu ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri, hali yako ya kimaisha na utu wako kuwa viko chini!
    Kuna ujumbe unautoa through hizo comments zako 2, lkn vipi raisi akialika watu wasio na uwezo kufuturu au kula ubwabwa ikulu! What is a big deal ktk hilo? Kweli maskini au hao unaowawaza wewe hawana haki ya kufuturu au kula wali state house?
    Kuna baadhi yetu huwa tunanyimana chakula au kuoneana wivu kwa Fulani akila vizuri, kama wale waliokuwa wanamsema mke wa mcharo kuwa kila siku nyama!
    Uchumi wa taifa hauweza kuyumba kwa watu kufuturu au kula wali! Afterall sisi wenye imani za kiislam kula na wasiojweza hasa nyakati za ibada kama Ramadhani au sikukuu ni jambo linalofanywa kuimarisha udugu!
    Hata mengi, Lowasa, Mbowe etc huwa wanaalikwa kwa lengo la kujenga ujamaa!
    Kila raisi na kila mwana jamii mwenye mamlaka au hata wengi humu zipo point tumealika watu lunch, dinner ktk hotel, migahawa au majumbani kwetu kama sehemu ya mazungumzo, urafiki, sherehe au kutambuana etc!
    Acha chuki na ujinga!
    Wapo walioingia ikulu sio kwa kufuata ubwabwa au futari lakini wameathiri sana taifa lako! Usiwaonee hao wapenda futari na ubwabwa wakati hadi sasa waliowaumiza watanzania sio hao wabeba ndizi!
    2kimo,
    Mwambie ndugu yetu huyo kuwa wakati wa harakati za kupigania uhuru
    wanaharakati walikuwa na ''kijiwe'' chao hapo huwakosi baada ya kazi.

    Hii ilikuwa nyumba ya Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuu.

    Mzee Abdallah amenieleza kuwa kwa mkono wake alikuwa anachinja kuku 20
    kwa siku.

    (Huyu Mzee Abdallah alikuwa muhudumu katika ofisi ya Market
    Master).

    Mzee Abdallah alikuwa akipeleka kuku hao pale nyumbani na waliokuwa
    wakikirimiwa ni vijana wa TAA akina Dr. Vedasto Kyaruzi, Julius Nyerere,
    Stephen Mhando, Kasella Bantu 
    na wengine.

    Chief Kidaha Makwaia na Thomas Marealle Mangi Mkuu walikuwa wakija pale
    kwa chakula cha jioni na mazungumzo ya siasa mara nyingi sana.

    Kipi cha ajabu leo?

    Hatuelezi haya kama simbulizi au masimango tunaeleza haya kufundisha ili
    wasiojua wajue kuwa kwetu sisi kukirimiana ni jambo linalothaminiwa sana.

    Huu ni utamaduni wetu wa enzi na enzi.
    Rais Kikwete kuwaalika watu wakalenae Ikulu ni katika utamaduni alotokanao
    kwa wazee wake.

    Haipendezi kufanya kejeli kwa chakula.
    Kufanya hivyo kunaonyesha roho dhaifu iliyojaa choyo.
  5. #44   Report Post    
    ILAN RAMON's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 10th September 2013
    Location : Tel Aviv
    Posts : 2,930
    Rep Power : 1004


    Likes Received
    398


    Likes Given
    310

    Default

    Quote By assadsyria3 View Post
    ,mohamedi said, mungu akuongoze, nimefahamu mengi kuhusu wewe, hstoria iliofichwa umeuibua, roho mbaya ya nyerere kuwafuta watu muhm kwenye historia umefichua.

    wallah wewe ni tunu kwa wenye kusoma na kutafakari bila kuwa biased.
    Tunu ya magaidi labda
  6. #45   Report Post    
    ILAN RAMON's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 10th September 2013
    Location : Tel Aviv
    Posts : 2,930
    Rep Power : 1004


    Likes Received
    398


    Likes Given
    310

    Default

    Quote By Bome-e View Post
    Miaka 10 ijayo nchi ikiwa imepiga hatua na maendeleo yakaonekana tukafika kwenye uchumi imara na Magufuli akachukua credit kwa hilo,baadae watu waje wadai na mkwere apewe credit kwa hatua nchi iliyopiga,kuna haki kweli ya kumpa mkwere credit?Jambo hili nafananisha na mzee said anachofanya,anajaribu kuwatafutia credit watu wa imani yake japo hawakufanya anything remarkable!
    mkwere hafai kuwa hata houseboy wangu acha baloz wa nyumba10

  7. #46   Report Post    
    ILAN RAMON's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 10th September 2013
    Location : Tel Aviv
    Posts : 2,930
    Rep Power : 1004


    Likes Received
    398


    Likes Given
    310

    Default Re: Azam TV: Kipindi maalum kuhusu uhuru wa Tanganyika 9 desemba, mzungumzaji Mohamed Said

    hvi guantanamo bay imefungwa?kuna magaidi hukuTZ
    cc
    Mosad
    cia
    scotland yard





  8. #47   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 6,961
    Rep Power : 340151


    Likes Received
    5961


    Likes Given
    286

    Default Re: Azam TV: Kipindi maalum kuhusu uhuru wa Tanganyika 9 desemba, mzungumzaji Mohamed Said

    Quote By Ngongo View Post
    Sheikh Mohamed Said leo ni siku ya kufanya usafi Kariakoo imechafuka sana histohisia zao tumezisikia sana huna jpya.Mwl Julius Kambarage Nyerere ndiye mwasisi wa Taifa hili,ndiye aliyetuletea uhuru waTanganyika,ndiye alitengeneza Tanzania unayoiona sasa mengine yote porojo.
    Ngongo,
    Hilo ulosema kuhusu mchango wa Mwalimu Nyerere katika historia ya
    Tanzania si mie wala yeyote yule anaweza kukupinga.

    Hakika ni Mwalimu Nyerere aliyeongoza harakati za uhuru wa Tanganyika.
    Lakini peke yake asingeweza.

    Unasema sina jipya.


    Hapana si kweli kwenye kipindi cha leo nilimleta Chief Kidaha Makwaia,
    Dr. Wilbard Mwanjisi, Paul Bomani, Sheikh Yusuf Badi, Yusuf Olotu, Ali
    Mwinyi Tambwe, Ali Jumbe Kiro, Mwalimu Sakina Arab na wengineo na

    nikaeleza michango yao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

    Mimi si mtu wa porojo.

    Ushahidi kuwa mimi si mtu wa porojo ni kuwa miaka michache tu ilopita
    nilishirikishwa katika kuandika Dictionary of African Biography (DAB) mradi
    wa Harvard University na Oxford University Press, New York.

    Kazi imekamilika na hilo kamusi lipo sokoni.
    Hii si porojo.

     
     Wa pili kushoto na mwanamke pekee ni Mwalimu Sakina Arab. Mwalimu Nyerere huyo katikati
    ruka mtu mmoja huyo anaefuatia ni Ali Jumbe Kiro kiongozi wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika,
    Oscar Kambona na Ali Mwinyi Tambwe. Tambwe alikuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na mmoja
    wa wanachama wa mwanzo wa TANU.

No comments: