dostumJF-Expert Member
- Joined: Nov 1, 2010
Mhe. JPM si mdini, lakini si vibaya uyajue yanayozungumzwa hasa baada ya uteuzi wa Dr. Dau
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dostum, Today at 10:54 AM.Messages: 174- Likes Received: 1
- Trophy Points: 16
New
''Mhe. JPM si mdini, lakini si vibaya uyajue yanayozungumzwa hasa baada ya uteuzi wa Dr. Dau''
Nianze kuunga mkono maoni haya kuwa
""Sidhani kama watu wa upande wa dini nyingine hawana sifa ya kuteuliwa. Ila mfumo wa uteuzi nadhani ndio jipu jingine. "
"Kuna wakati pale TRA zaidi ya robotatu ya wafanyakazi walikuwa Wachagga"
Hii haimaanishi kuwa makabila mengine walikuwa hawana sifa ya kufanya kazi pale. La hasha.
Bali mfumo ndo ulikuwa unawabeba wachagga.
Kuna kipindi Basil Mramba aliwahi kujitetea Bungeni kuwa Wachagga wamesoma sana masuala ya fedha ndo maana walikuwa wengi TRA.
ila huo haukuwa utetezi mujarabu"
"Hivyo Uwiano ni muhimu sana kwa mustakabali wa umoja wa kitaifa, japo uwezo ndio kigezo kikuu......"
Image attached zinajieleiza wenyewe:
Ingia hapa kusoma takwimu za mgao wa nafasi baina Wakristo na Waislam.
http://www.jamiiforums.com/threads/mhe-jpm-si-mdini-lakini-si-vibaya-uyajue-yanayozungumzwa-hasa-baada-ya-uteuzi-wa-dr-dau.1010441/
No comments:
Post a Comment